Kagasheki awaita Madreva wa Pikipiki na Taxi Bukoba ili Wasimpokee Slaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagasheki awaita Madreva wa Pikipiki na Taxi Bukoba ili Wasimpokee Slaa!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Mar 1, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kwa hali isiyoyakawaida Mh.Hamis Kagasheki ameitisha kikao tarehe 1.03. 2011 hapa Bukoba mjini leo saa nne asubuhi ili akutane na Vijana wote wanaoendesha Taxi na Pikipiki akidanganya kuwa ni kikao cha masuala ya uwekezaji, lakini wenyewe wameshtuka na wamesema wanatoka muda si mrefu kunieleza yote yaliyoelezwa na Kagasheki humo ndani. Kutokana na hotuba ya mkulu jana, huyu Kagasheki anataka eti vijana wasimuaibishe kwa kumpokea President ambaye hakutangazwa slaa. Vijana wamefunga bendera za Chadema tangu juzi. Nitaeleza musa si mrefu alichosema Kagasheki humo ndani.

  UPDATE

  Kwa sasa wako ndani ya Ukumbi wa ST.FRANCIS na Balozi Hamis Kagasheki, wamepaki wengi mpaka muda huu Bukoba mjini Pikipiki na Tax hazionekani kwa wingi zinapopaki. Yuko ndani na vijana. Amewatangazia kuwa ni fursa za uwekezaji na biashara ili kupotosha maazimio ya kumpokea Slaha yaliyopangwa jana usiku. ili vijana wasipate taarifa wapi wampokelee Slaa. Mie nitaeleza kila atakachokisema humu ndani. Nawashauri PCCB waende pale wadhibiti bahasha zozote iwapo zitatoka. Wengine wamebananishwa wakafunga bendera za chama kwenye pikipiki lakini haisaidii. Subirini watoke nitaela bla bla zote zitakazoendelea.
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Mfa maji haishi kutapatapa
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tunasuburi kwa hamu ndugu usituangushe.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nawashangaa hawa CCM, vijana watampokea tu hata afanyeje huyu Kagasheki
   
 5. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  hee hhee bora mara mia angewaeleza hao watanzania namna atakavyoweza kukabiliana na matatizo yao na siyo hayo anayofanya amechemka mtanzania wa sasa hivi hadanganyiki.
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  tel him its too late,....
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Siko la kufa.........................................hilo. RIP CCM!!!
   
 8. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu atachemka tu huyu jamaa hawezi kushindana na nguvu ya umma navyo wafahamu hao jamaa sizani kama watakubali huo upuuzi
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hata awahonge kiasi gani bado mapokezi yatakuwa pale pale na shughuli ni ile ie mpaka kieleweke
   
 10. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha! Kivumbi cha mwanza, mara na shinyanga kimemtisha! Aende akazuie na waenda kwa miguu wasiandamane.
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  wachache wameanza kurudi wanasema eti anawazingua
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Lazima wapewe mlumgula tu hawa
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jamaa bado kawabana ndani ya ukumbi, hawatoki,
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ta Muganyizi, yanayojiri huko tafadhari!!!:A S 13:
   
 15. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  mie ushauri wangu akitoa mshiko wachukue wakaze mafuta mapikipiki na magari wampokee slaa rais wetu simple kabisa watakuwa wamerahisisha mapokezi ya mashujaa wetu
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kaka hawajatoka ndani ya Ukumbi, jamaa bado anamwaga sumu
   
 17. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUbali wito kataa neno.

  Tusubiri wataambiwa nini?
   
 18. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ..teh teh teh anazuia maji ya mto kwa mikono!!! with IT era naamini watasambaziana text kwa simu zao. kama atawapa hongo, itatoka mfuko gani?
   
 19. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #19
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45

  Ndugu acha uongo wako hapa kuhusu lengo la kikao hicho!
  Labda kama unaongeza thread tu
  Mimi natoka kwenye kikao hicho,nilikuwepo mwanzo hadi mwisho,kikao hicho hakikuwa cha agenda hiyo,Kilikuwa cha waendesha pikipiki wakijadioli hatima yao kuhusu mambo ya leseni za biashara na matatizo yao na polisi na wameweka mikakakati fulani baada ya vijana kulalamikia jeshi la polisi.
  Agenda ya slaa wala kuongelea issu hiyo haikuwepo kabisa,
  Tatizo la wabongo kila kitu wanakihusisha na suala jipya linalojitokeza au kukaribia kujitokeza.
   
 20. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  kwa nini iwe leo? hata hivyo huna haja ya kuandika kwa jazba kama una uhakika hakukuwa na ajenda hiyo ukweli utajulikana tu
   
Loading...