Kagasheki atoa miswala,vitabu na mavazi ya sh mil 25 misikitini Bukoba!

Miaka ya nyuma rushwa ya uchaguzi ilikuwa ikitolewa kwenye makundi ya kijamii yasiyo ya kiimani mf. vikundi vya wanawake, mahospitalini n.k kama misaada. Ukweli mchungu ni kuwa uchaguzi ujao support ya makundi ya kidini itakuwa ni uwanja mpya wa mapambano.

mkuu hii siyo rushwa! kwani husikii misaada inayotolewa kwa serikali kutoka nje?
 
Back
Top Bottom