kagasheki akanusha kuhusu police leo kuuwa watu Mwanza

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Naibu waziri wa mambo ya ndani amekanusha habari za watu kuuwawa katika mgogoro wa machinga na mgambo.
chanzo tbc habari saa 2000hrs
 
hivi ilikuwa ni confrontation ya machinga na mgambo ama polisi? i thought iliripotiwa to be vs police waliokuwa eneo lile kuzuia machingas wasisogee na kufungua biashara zao!
 
Machinga na Mgambo imekuwa hivyo sio Jeshi la CCM linaloongozwa na kamanda wao Mwema?
Au kwa kuwa Chadema wanogoza jiji la Mwanza basi Polisi wanitwa Mgambo? Haya makubwa
 
Tatizo sio machinga bali ni madeleva wa daladala ndio waliosababisha baada ya kufungwa kwa kituo cha chai, kituo ambacho huwa kina machinga wengi sana nadhali wamekifunga ili machinga wahame eneo hilo kwa kuwa huwa kunakusanya abiria wa maeneo mbalimbali ya jiji la mwanza. Machinga na waendesha daladala huwa ndio sehemu yao kuu ya kujipatia ridhiki.
 
Back
Top Bottom