Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Hali ya upinzani na wasiwasi ni tete nchini Rwanda na kwa dikteta Kagame. Kwa mujibu wa habari toka DW mchana wa leo bwana Kagame amefanya mabadiliko makubwa katika baraza la mawaziri na kumuondoa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi.

Amesikika akiweweseka kuwa atamkamata mtu yeyote na kumpeleka sehemu inayo takiwa kama wataendelea kuleta upinzani ktk serikali yake. Huyu bwana ndiyo Rais anayependa kuua upinzani na kudhani kuwa atakuwa Salama akifanya uchaguzi uchwara na kukamata kamata wapinzani wake na wengine kupotezwa kutekwa na kuteswa.

Amekuwa na tabia ya kujitangaza na kujitukuza anawaletea watu maendeleo utafikiria pesa hizo anatoa ktk akaunti ya baba yake mzazi. Anapenda vyombo vya habari vimtangaze na kumsifu yeye tuu kuwa anapendwa anaongoza vizuri. Akisifiwa namna hiyo basi lile Bichwa lake linakuwa kubwaa kama jamaa yake mmoja hivi anaye jifunza kupitia notes zake.

Tetesi zinasema bwana Kagame husafiri kwenda kutoa mafunzo ya udikteta kwa mwanafunzi wake mmoja katika nchi moja ya kijamaa ambayo ipo pembezoni mwa Bahari ya hindi huko kwa Marofa Ulaya Mashariki.

Tunamuonya sana huyu mwanafunzi wa Ukagamelizimu wabena wanamuta "Igangi ilonga" atapotea. Usicheze na Peoples' Power. Wanao kulinda sasa hivi na kukudanganya kwamba wewe upo imara, na kukuimbia mapambio ndio watakao kukamata na kukupiga Tanganyika jeki halafu mbele ya pilato liwali Mrumi utafikishwa. Utalia sana na kusaga meno. Tutakupiga wala hatitakuonea huruma.
 
Amesema hivi:

“They hide behind politics, democracy, freedom, that we actually want, it is our responsibility to ensure that there is democracy, there is peace, there is freedom, there is everything in our country. Primarily we are the ones responsible first and foremost, we, me and you,” Kagame said.

“You cannot be here benefitting from the peace and security that we have created, that we have paid for in blood over many years and then you do things behind our backs and cause us problems. We will put you where you belong, there is no question about it,” the President added.
 
Kagame ni pandikizi la Mabeberu

Hawana cha kimfanya
Mabeberu watashirikiana na yeyote atakayeoffer interest nzuri kwao kuliko aliyepo madarakani.

Wewe leo ukiwaahidi rasilimali kwa 80% Uranium 100% manpower kila wanapohitaji, na military manpower unaweza shangaa umekua Mh. Kawe Alumni Rais wa nchi XYZ.

Sioni kwa Kagame hilo limekuaje.
 
Ninachompendea huyu jamaa anaijua vizuri lugha ya mabeberu ila sijui kwa nini wateule wake mwenyewe ndio wanaokuwa maadui wake tena
 
Kagame ni kiunganishi na Mabeberu katika Nchi za maziwa makuu

He reports to CIA what is going on in the region
Mabeberu watashirikiana na yeyote atakayeoffer interest nzuri kwao kuliko aliyepo madarakani.

Wewe leo ukiwaahidi rasilimali kwa 80% Uranium 100% manpower kila wanapohitaji, na military manpower unaweza shangaa umekua Mh. Kawe Alumni Rais wa nchi XYZ.

Sioni kwa Kagame hilo limekuaje.
 
Najua povu lako loote ni kwa JPM! Ujue na ukumbuke JPM hakupatikana kirahisi! Kulikuwepo ngome ya Lowasa aikufua dafu kwa JPM. Pia ukumbuke watanzania waliomba sana Mungu wampate rais kama JPM. Ulaaniwe sana wewe na familia yako na ukooo wako kuleta uhaini dhidi ya JPM chaguo la watanzania. Subiri mpaka 2025.
 
You nailed it

Hali ya upinzani na wasiwasi ni tete nchini Rwanda na kwa dicteta Kagame. Kwa mujibu wa habari toka DW mchana wa leo bwana Kagame amefanya mabadiliko makubwa ktk baraza la mawaziri na kumuondoa Mkuu wa majeshi ya ulinzi.

Amesikika akiweweseka kuwa atamkamata mtu yeyote na kumpeleka sehemu inayo takiwa kama wataendelea kuleta upinzani ktk serikali yake. Huyu bwana ndiyo Rais anayependa kuua upinzani na kudhani kuwa atakuwa Salama akifanya uchaguzi uchwara na kukamata kamata wapinzani wake na wengine kupotezwa kutekwa na kuteswa.

Amekuwa na tabia ya kujitangaza na kujitukuza anawaletea watu maendeleo utafikiria pesa hizo anatoa ktk akaunti ya baba yake mzazi. Anapenda vyombo vya habari vimtangaze na kumsifu yeye tuu kuwa anapendwa anaongoza vizuri. Akisifiwa namna hiyo basi lile Bichwa lake linakuwa kubwaa kama jamaa yake mmoja hivi anaye jifunza kupitia notes zake.

Tetesi zinasema bwana Kagame husafiri kwenda kutoa mafunzo ya udikteta kwa mwanafunzi wake mmoja ktk nchi moja ya kijamaa ambayo ipo pembezoni mwa Bahari ya hindi huko kwa Marofa Ulaya Mashariki.

Tunamuonya sana huyu mwanafunzi wa Ukagamelizimu wabena wanamuta "Igangi ilonga" atapotea. Usicheze na Peoples' Power. Wanao kulinda sasa hivi na kukudanganya kwamba wewe upo imara, na kukuimbia mapambio ndio watakao kukamata na kukupiga Tanganyika jeki halafu mbele ya pilato liwali Mrumi utafikishwa. Utalia sana na kusaga meno. Tutakupiga wala hatitakuonea huruma.

Mkuu

Ukiua upinzani rasmi unaotambuliwa na katiba unaleta upinzani usio rasmi ambao ni mbaya zaidi na zaidi!

Mawe atie maji kinyozi anakuja!
 
Shida yake hua hana lugha ya kidiplomasia/kupiga piga kona.

Kipindi kile yule mkuu wake zamani wa upelelezi alivyonyongwa kule hotelini South Africa,wkt bado viongozi wa nchi yake wakijaribu kujitetea ili diplomasia kati ya nchi hizo 2 isivurugike yeye alisema hivi.

'You cannot betray Rwanda and get away with it. There are consequences for betraying your country'.

So aka-confirm kweli alimnyonga.
Manina hahaha
 
So what!

Ujinga tu ooh Mawe! Ooh Mawe! Unaogopa hata kutaja jina la President Kwasababu unajua unamkosea adabu

You said kagame is your role mode then mmemgeuka sasa
Mabeberu Ndio yamekuwa role model wenu

Poor you, get out from sobber house and come on to your senses

Otherwise you Will suffer for the rest of your life Magufuli is still there, akichoka Magufuli anakuja mwenye itikadi km za Magufuli mpaka tubadilike

Sana sana tu unaweza kumeza jiwe la moto Ufe tu usiendelee kuteseka
Na mawe ana report wapi?

CIA mzee!

Usituletee propaganda mavi hapa!
 
'You cannot betray Rwanda and get away with it. There are consequences for betraying your country'.

So aka-confirm kweli alimnyonga.

Hahaha huyu Mzee blue ni blue and not otherwise

Huwa napenda hotuba zake hana zile tabia za wanasiasa wa kiafrica kuhutubia huku amekenua meno wakati moyoni anapanga kukumaliza

Kwangu Mimi bora kiongozi atoe shiti mkaelewa kabisa mtazamo wak,kuliko yule anayekuchekeeni akitoka hapo anaenda kupanga mipango ya kishenzi
 
Najua povu lako loote ni kwa JPM! Ujue na ukumbuke JPM hakupatikana kirahisi! Kulikuwepo ngome ya Lowasa aikufua dafu kwa JPM. Pia ukumbuke watanzania waliomba sana Mungu wampate rais kama JPM. Ulaaniwe sana wewe na familia yako na ukooo wako kuleta uhaini dhidi ya JPM chaguo la watanzania. Subiri mpaka 2025.
Jibu zuri safi sana........kaandika mafumbo akajua hatujamuelewa
 
Back
Top Bottom