Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Wakati ambapo Rwanda na Burundi walipokuwa wakiomba kujumuishwa kwenye Shirikisho la Afrika Mashariki, binafsi moyo wangu ulipatwa na wasiwasi kidogo...
Rwanda na Burundi ni nchi ambazo kila mmoja anajua historia zao, sasa wakati wanaomba kujiunga na EAC ikumbukwe kuwa kuna vijimigogoro ambavyo wao kwa wao walikuwa bado hawajapata utatuzi...
Sasa leo hii baada ya mgeni "Rwanda" kuwa mwenyeji wa EAC naona anapata kiburi na ujasiri wa kutamka haya yote...

On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”.

Hayo maneno si ya kufumbiwa macho hata kidogo kwa nchi ambazo zinajiita eti zipo kwenye Shirikisho moja...hayo ni maneno ya chokochoko.

JK hebu tafuta namna ya ku-deal na hawa majirani zako kama ambavyo umekuwa ukiwadhibiti wapinzani ndani ya nchi...

La sivyo wataendelea kukupanda kichwani kila uchwao, alianza Mama Joyce, sasa Bwana Kagame na si ajabu wakafuata wengine.
 
Nadhani unajua kilicho-mHIT President Juvenil Habyarimana wa RWANDA... we have to be very carefull...
Mkuu usione ukimya wa Tanzania, kwenye international politics huwa nipo confident sana na Tanzania pamoja na intelligence yake. Sina shaka kwamba Tanzania inazichanga karata zake vizuri. Membe alishasema Tanzania haina mpango wa kumuomba radhi, bila shaka something better is being thought of. Pengine aanze yeye Kagame kushughulikiwa na kuachia madaraka. Kama ilivyompandikiza Mseven Uganda, ikamuweka Laurence Kabila kule Congo, naamini haitashindwa kwa huyu.
 
Some symptoms of mental illness:

  • Overwhelmed by fear or worry
  • Depressed mood
  • Confused thinking
  • Trouble dealing with stress
  • Suicidal thoughts
  • Severe anxiety
  • Problems sleeping
  • Distance from friends and family
  • Paranoia
Mwenzenu naona kama Mzee Kagame kimeshaanza.Huwa kinaanza hivi hivi!
Ni kweli kabisa
 
If you argue with a fool, people may not notice a difference.

Does he even know that madiba ni rafiki mkubwa sana wa De Clerk na alikuwa ni Vice President wake? kabla ya hapo De Clark alikuwa ni Rais wa utawala wa makaburu.
 
Ninachomkubali huyu jamaa ni so specific kwa JK! Kagame anaonesha kweli yeye commender in chief na rais wa nchi, sio JK anajiita Amir Jeshi Mkuu lakini anachekacheka tu!
 
Achen ujinga nyinyi hvi nan aliye waambia kuwa ilikushinda vta lazma iwe nchi kubwa ....ushindi wa vta ni mipango,uzarendo na slaha co ukubwa wa pua
 
.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete

Kagame acha ushenzi Wako,acha upunbavu wa kishetani unaowafanyia wanyarwanda wenzako ukidhani utachezea watu wote,Tanzania sio kongo ------- zako,acha upuuzi wa kumfuatafuata rais wetu kwani mikono yako imejaa damu,ur a killer and everyone knows this,stop your stupidity now
 
For the first time since President Kikwete elected...I stand by my President! This Rwandese 'maniac' who eagerly wanted to be crowned 'dictator' (HE IS NOT!) have 'chuki-binafsi' na Tanzania. The way I see, the issue here is not Kikwete's comment..the issue is Tanzania. Atuchokoze tumpige ka Nduli! Shalikenda zake..
 
polepole nadhani kunawakati ufike kagame ajue joto ya hizi kauri zake.
 
7481088476_5924df4951_b-1.jpg


7478927916_1953f88426_b.jpg
 
Anajua uongozi ulipo ni dhaifu na hauwezi kufanya lolote,unafikiri ingekuwa tz chini ya Nyerere au Mkapa angethubutu kusema aliyoyasema,ikumbukwe kuna wakati wa uongozi Mkapa Kagame alijaribu kutuchokoza ziwani Tanganyika kilichomtokea anakijua mwenyewe na wala Mkapa hakumwambia neno lolote ila vitendo na hakurudia tena! maskini nchi yangu chini ya uongozi huu........,natamani kulia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Achen ujinga nyinyi hvi nan aliye waambia kuwa ilikushinda vta lazma iwe nchi kubwa ....ushindi wa vta ni mipango,uzarendo na slaha co ukubwa wa pua

uzalendo wa Mtanzania upo at all time low,tusiombe vita au tutaona maajabu ya wa tz wakimkumbatia adui. Huo ndio ukweli. jwtz na polisi wa endelee kuwadhibiti wapinzani mtwara, arusha, zanzibar mbeya etc etc wasidhubutu kamwe kufungua war front na Rwanda,Malawi. Time is simply not right. I am done.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom