Ndg zangu hebu tuamke kifikira tuache ushabiki wa kisiasa hebu tuangarie Maendeleo ya inchi yetu.CCM imeturudisha nyuma sana hebu tuiweke kando kwanza.Mpeni kura za ndiyo Dr Slaa 2010.ili tuone mabadiriko angalau, hata km na yeye akija kutugeuka tunamtoa vilevile tusiogope
ENYI CHADEMA.....URAISI HAUFANYIWI MAJARIBIO.....SIO KUWA MBUNGE KWA VIPINDI VIWILI UTOSHE KUONGOZA NCHI........kama ambavyo JK 1995 hakutosha kuwa rais kwani nafasi alizoshika hazikukidhi vigezo....UBUNGE NA UWAZIRI aliokuwa nao bado haukuwa uzoefu tosha........!bado hujakomaa kuingoza TZ Slaa NZANIA YETU....muulize msomi mwenzako LIPUMBA aliyedhani usomi ni urais.
Kuingia Ikulu sio kazi, kazi ni nini unachoenda kukifanya?
Kwani wakuu mmesahau kuwa hili ni shamba la bibi,kwamza sisi shirika la atcl la nini wakati wakitaka mafungu wanasema kwamba tuna tenga kiasi fulani kwa ajili ya shirika huo wote ni ukora,rwanda kwa kifupi ni mfano wa kuigwa kwa sisi watanzania kwa nini jk asiombe ushauri kwa kagame ampe staili ya kuleta mageuzi.mafisadi kwao wanatumikia kifungo sisi wanagombea uongozi tuwarudishe madarakani ili watufisagi tena,kwa staili hiyo tutapona kweli,sasa iliyobaki ni kuiomba rwanda itusaidie bajeti yetu angalau kwa asilimia fulani kama siyo mia.am out
Usifanye mchezo na Kagame kina Chenge and co wangekuwa Rwanda lna ujinga wao wa kusaini mikataba mibovu wangepigwa viboko....jamaa hana mchezo wa kubebana ndio maana viongozi wana adabu na kufanya kazi zao ipasavyoAngalia wenzetu wanakopata ndege zao Boeing Commercial Airplanes....sisi tunaenda Bermuda sijui
Usifanye mchezo na Kagame kina Chenge and co wangekuwa Rwanda lna ujinga wao wa kusaini mikataba mibovu wangepigwa viboko....jamaa hana mchezo wa kubebana ndio maana viongozi wana adabu na kufanya kazi zao ipasavyo
Uongozi wa nchi si suala la mzaha hata kidogo. Kiongozi bora ni yule anayesikiliza na kutatua matatizo ya wananchi yake. Ni mzalendo kwa Taifa lake. Kagame licha ya ukatili wake, ni mzalendo kwa Wanyarwanda ndio maana serikali yake imeyaondoa magari ya kifahari ktk kuyamiliki na kuyaendesha, sasa wananunua madege kusaka mapesa sisi tunayaua, kisa mjomba kaanzisha shirika lake la ndege, hivyo la serikali likiimarika litaleta upinzani, a cha life after all I have no interest with it. Namna hii hatutafika ni lazima kujitoa mhanga kwa Taifa.Angalia wenzetu walioendelea ni wazalendo kweli kwel kwa mataifa yao. INAUMA SANA UNAPOANGALIA TANZANIA KUITWA MASKINI TENA SANA. INAUMA SANA, INAUMA SANA. THIS YEAR, DEAR TANZANIANS, TOGETHER LET US VOTE FOR CHANGE AND DEFEND IF NOT PROTECT OUR VOTES TO DEATH TO ENSURE THAT THOSE WHOM WE HAVE VOTED IN ARE THE ONES IN POWER. WE MUST FIGHT TO DEATH TO PROTECT C OUR INTEREST. HONGERA KAGAME KWA KAZI NJEMA SANA
lane:INAUMA SANA INAUMA SISI KUITWA MASKINI, INAUMA SANA SISI KUOMBA CHAKULA NJE YA NCHI, INAUMA SANA KUNUNUA CHAKULA BRAZIL HUKU SUMBAWANGA HAWANA SEHEMU YA KUUZIA MAZAO YAO, INAUMA SANA KUNUNUA KUKU KUTOKA SA WAKATI SINGIDA WAPO WA KUMWAGA. INAUMA SANA INAUMA SANA AAAAAH MMMH INAUMA SANA
i feel your pain dawg. I feel like that about my own country too. I admire ur passion for ur country and i hope your fellow countrymen join u in ur fight for change.
Goodluck tanzanians in ur upcoming election