Kagame: Kujengewa ofisi za AU ni aibu kwa Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame: Kujengewa ofisi za AU ni aibu kwa Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 7, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  Baada ya kumalizika ujenzi wa makao makuu mapya ya au hatimae rais wa rwanda ameibuka na kusema ni aibu nzima kwa afirka...rais kaagame alisema hayo a mkutano wake wa kila mwezi na waandishi wa haabari mjini kigali ahadi aliotoa wakati wa uchaguzi

  jengo la makao makuu ya au ambalo limemkera mh rais linagarimusoller million 200 limejengwa addis ababa
  alisema ujenzi wa jengo hilo ni ujinga na upumbavu kwa waafrika..afrika tunaitaji kufanya kazi kwa bidii na sio kukimbilia wadhamini watujengee hata jengo la ofisi yetu wenyewe hii inatia kinyaa alisema mh kagame

  alisema hii ni aibu na tunaitjai kujifunza kutokana na makosa akaomba hili lisirudiwe tena hata kama atokuwepo madarakani... Amesema china imeamua kujenga jengo hili kubwa afrika wakati ikjua afrika ni kubwa na ina mali za kutosha kujenga jengo letu wenyewe...akasema ujenzi huo sio. Tu unaakisi uwezo mdogo wa afrika katika kuiletea maendeleo bali inaweza kuwa sababu ya kuikaribisha china kuendeleza ushawishi wake na kujinyakulia rasilimali zetu bila kupinga

  kazi ipo mwenye mashikio na ashikie

  src mwanachi
   
 2. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamaa jembe sana..
   
 3. k

  kkarumekenge JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2014
  Joined: Aug 14, 2013
  Messages: 1,714
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli hilo somo JK analielewa?
   
 4. U

  Usoka.one JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2014
  Joined: Nov 20, 2013
  Messages: 774
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Sidhani na wala tusitegemee!!PK kasema ukweli
   
Loading...