Kagame Hotel iliyopo Ubungo

Wakuu, Nimepita Ubungo Nikiwa Naenda Kwenye Mdahaho Wa Katiba, Nyuma Ya Ubungo Plaza Nikaona Hotel Moja Nzuri Inaitwa Kagame Hotel....... Naomba Niulize Kama Hii Hotel Ni Ya Kamanda Mchapakazi Kagame Mwenyewe Au Ni Jina Tu Mtu Kaandika Kupata Wateja Kwavile KAGAME Wote Tunajua Ni Rais Mzuri Na Maarufu Sana Hapa Tanzania Na Dunian Kote
Wewe Mtutsi utakuwa huna hakili kama siyo akili! Umaarufu Wa Kagame umeanza lini hapa Tanzania?
 
kama unamfahamu mwambie abadilishe hilo, anaikwaza serikali anatukwaza usalama wa taifa.

Kama mnakwazika,nyie kama TISS si muende na mumpe amri na si ombi afute jina hilo haraka,anawezaje kuandika jina la mtusi mjinga yule akaacha jina safi la Nyerere? tena afute haraka,vinginevyo tuta.... hiyo hotel yake.
 
na ile royal kibadamo ya pale ubungo jirani ya hostel za chuo ni ya mkinga pia

Na MIC Hotel iliyopo karibu na Kibadamo ni ya Mkinga, pia katibu na pale IPO nyingine inaitwa Royal Njombe nayo ni ya Mkinga
 
Back
Top Bottom