Kagame azidi kuabika: Marekani na Taliban sasa kumaliza tofauti zao kwa njia ya mazungumzo

Zinedine

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,187
694
Wito uliotolewa na Rais Kikwete na hatimaye wakua wa Nchi za SADC kutaka Rais Kagame na Museveni kuzungumza na waasi wanaokabiliana na Serikali hizo hali iliyopelekea Wakuu wa Serikali ya Rwanda akiwa pamoja na Rais mwenyewe kutoa kauli za dhihaka kwa Rais Jakaya Kikwete unapata nguvu mpya kufuatia Serikali ya Marekani kuzindua mazungumzo yenye kuleta amani nchini Afghanistan. Hii inadhihirisha wito wa dunia kutumia njia ya mazungumzo katika kuleta amani.
Kwa habari zaid gonga hapa kwa washington post

U.S. to relaunch peace talks with Taliban - The Washington Post
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Na tayari Taliban wamefungua office Qatar, Doha!

Taliban tayari wameanza mashirikiano na Afghan Police Forces kulinda amani ya nchi yao.

Leo ndio zilikua sherehe za NATO kuwakabidhi Afghan Forces jukumu la kulinda usalama wa nchi yao ya Afghanistan!

Sasa kazi kwake Gen. Kagame kukaa mezani na FDLR kutafuta Amani ya nchi za maziwa makuu.

Dialogue ndio "sippy soda", angalia kule Ireland leo Obama na Putin wanafanya Dialogue kutafuta amani nchini Syria.
 
JWTZ kule kongo nahisi pia hawekwenda na bunduki bali walibeba makabrasha ya kufungua ofisi kongo ili kufanya dialogue na M23
 
JWTZ wao wameombwa na UN kama yalivyoombwa majeshi mengine kwenda kuwanyang'anya SILAHA waasi wa M23 kwa lengo la kuleta amani huko mashariki mwa DRC na sio kufungua ofisi.

Wakati huo huo M23 wamegawanyika, wapo wanaotaka amani na wanafanya mazungumzo na serikali ya Rais Kabila kule Kampala chini ya usimamizi wa Rais Museven
 
Tunapenda kucheza na muda halafu tunaishia uchochoroni....waafrika wote ni kama tunafanana
 
HaKUNA AIBU YEYOTE HAPO. anaye aibika ni KIKWETE anaye agiza jeshi la polisi kuua raia kwa ajili ya masilahi yake. KAGAME ni kiongozi shupavu na mweledi kuliko JK kwa mabli sana.
 
JWTZ wao wameombwa na UN kama yalivyoombwa majeshi mengine kwenda kuwanyang'anya SILAHA waasi wa M23 kwa lengo la kuleta amani huko mashariki mwa DRC na sio kufungua ofisi.

Wakati huo huo M23 wamegawanyika, wapo wanaotaka amani na wanafanya mazungumzo na serikali ya Rais Kabila kule Kampala chini ya usimamizi wa Rais Museven

Unavyofikiri ni ngumu kukutofautisha na teja, nafikri JK alikuwa kwenye nafasi nzuri kuishauri UN ifanye mazungumzo na M23 badala yake akakubali njia ya mapambano iliyopendekezwa na UN, JK si lolote haiujulikani yeye ni muumini wa kitu gani katika hili sakata. Anaishauri Rwanda kitu gani yeye anafanya nini? Angekuwa anaamini katika dialogue Tanzania isingekuwa police state kama ilivyo leo we bata.
 
Kama baadhi yao hawataki Dialogue na wanaendelea kubaka watu na kuua mnawafanyaje?

Je, tuwaache waendelee kufanya yao (mauaji na kubaka wanawake)

Tanzania iko sahihi kuridhia wanajeshi wetu kwenda Goma kufanya peace keeping!

JK alikua sahihi kutoa ushauri kwa Gen. Kagame....ni jukumu lao kuufanyia kazi au kuuacha! Na sio kulia lia tu!
 
Peace keeping akifanya kagame inakuwa haramu ila akifanya JK ni sawa? nahisi wewe ni mama salma
 
Jikite kwenye hoja mkuu, hacha matusi!

Wewe unadhani peace keeping unaenda tu kufanya kama unavyoingia kufanya usafi kwenye banda lako la nguruwe?! huh!
 
HaKUNA AIBU YEYOTE HAPO. anaye aibika ni KIKWETE anaye agiza jeshi la polisi kuua raia kwa ajili ya masilahi yake. KAGAME ni kiongozi shupavu na mweledi kuliko JK kwa mabli sana.
Hana lolote huyo muuaji wa marais wenzake na mpenda madaraka mkubwa. Majidai tu na majigambo. Watutsi tu ndio wanaomtukuza kutokana na tabia yao ya uzalendo wa mbari na kupenda ukuu. Kukataa kuongea na FDLR ni hila tu ya kuendeleza utawala wa watutsi rwanda.
 
Bado Kikwete hawezi kuwa kwenye platform moja na Kagame, na Kikwete analijua hilo.
 
Kikwete ni mwanadiplomasia muerevu sana. Alichokizungumza kumshauri kagame ndio njia pekee iliyokuwa bora kutatua mgogoro uliopo nchini kwake. Na huyu ni mlafi wa madaraka mkubwa sana.
 
Kama Kikwete ni mwerevu basi neno uelevu halina maana yeyote, anamshauri Kagame kitu gani wakati nae katuma JWTZ Kongo kupambana na m23.
 
HaKUNA AIBU YEYOTE HAPO. anaye aibika ni KIKWETE anaye agiza jeshi la polisi kuua raia kwa ajili ya masilahi yake. KAGAME ni kiongozi shupavu na mweledi kuliko JK kwa mabli sana.
True but out of topic
 
Bado Kikwete hawezi kuwa kwenye platform moja na Kagame, na Kikwete analijua hilo.

Ni maneno ya mwalimu(teacher) ndiyo yanayokupa elimu si matendo ya mwalimu kwani mengine yaweza kuwa dhalimu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom