Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Wito uliotolewa na Rais Kikwete na hatimaye wakua wa Nchi za SADC kutaka Rais Kagame na Museveni kuzungumza na waasi wanaokabiliana na Serikali hizo hali iliyopelekea Wakuu wa Serikali ya Rwanda akiwa pamoja na Rais mwenyewe kutoa kauli za dhihaka kwa Rais Jakaya Kikwete unapata nguvu mpya kufuatia Serikali ya Marekani kuzindua mazungumzo yenye kuleta amani nchini Afghanistan. Hii inadhihirisha wito wa dunia kutumia njia ya mazungumzo katika kuleta amani.
Kwa habari zaid gonga hapa kwa washington post
U.S. to relaunch peace talks with Taliban - The Washington Post
Kwa habari zaid gonga hapa kwa washington post
U.S. to relaunch peace talks with Taliban - The Washington Post