Kagame azidi kuabika: Marekani na Taliban sasa kumaliza tofauti zao kwa njia ya mazungumzo

Kama Kikwete ni mwerevu basi neno uelevu halina maana yeyote, anamshauri Kagame kitu gani wakati nae katuma JWTZ Kongo kupambana na m23.

Kwa hiyo SADC na UN siyo werevu pia kwa kuwa waliunga mkono kauli ya JK kuhusu Kagame na M7 kujadiliana na waasi wa nchi zao. Kwa hiyo Kagame ndiye mwerevu? Watutsi mnachekesha sana, acheni hizo dharau zenu. EA, SADC & UN wameshawajua kuwa you are trouble makers, dawa yenu inachemshwa.
 
alitakiwa kukaa kimya sio kujifanya google

Akae kimya vipi....? Unafikiri yanayotokea Congo sisi hayatuhusu? Wakati tulipokuwa tukihifadhi wakimbizi zaidi ya milioni moja miaka ya tisini ulifikiri hilo lilikuwa jambo rahisi....? Nenda pale Nyaruguru mpaka leo wakimbizi toka Congo bado wapo..!
 
ishu hapa si aibu ya Kikwete kwa Polisi kuua raia,,,mleta maada anaelezea jinsi gani mazungumzo ynavoleta amanai,saa hiyo ni chuki yako tu,ukitaka kuzungumzia madhaifu ya JK lete uzi wako tukuunge mkno na huenda ni wale wale wakimbizi masalia mliobaki kwetu,ukweli uko pale pale Rais wenu kaabika katika hili maana pamoja ana majeshi yake yoote na nguvu zake zoote,lkn kubali mazungumzo
HaKUNA AIBU YEYOTE HAPO. anaye aibika ni KIKWETE anaye agiza jeshi la polisi kuua raia kwa ajili ya masilahi yake. KAGAME ni kiongozi shupavu na mweledi kuliko JK kwa mabli sana.
 
Seems JF international imekuwa propaganda mouth ya Ant Kagame movement,and sad thing JF members are falling for this garbage,JF international front page alone kuna more than 10 topics for Kagame and all negative....something very fishy here!!!
 
HaKUNA AIBU YEYOTE HAPO. anaye aibika ni KIKWETE anaye agiza jeshi la polisi kuua raia kwa ajili ya masilahi yake. KAGAME ni kiongozi shupavu na mweledi kuliko JK kwa mabli sana.
Too anemic and chademic
 
Kwa hiyo SADC na UN siyo werevu pia kwa kuwa waliunga mkono kauli ya JK kuhusu Kagame na M7 kujadiliana na waasi wa nchi zao. Kwa hiyo Kagame ndiye mwerevu? Watutsi mnachekesha sana, acheni hizo dharau zenu. EA, SADC & UN wameshawajua kuwa you are trouble makers, dawa yenu inachemshwa.

unaleta habari za TBC hakuna mahali SADC wameunga mkono ujinga wa JK
 
Back
Top Bottom