Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,952
- 32,627
Rais wa rwanda mh Kagame ameanza kutekeleza lile swali waliokuwa wakijiuliza wakati akijibu kuhuusu afya za vijana wake na maendeleo ya ukimwi..akiongea kama utani mh rais amesema amefanya
research na kuona vijana wengi bado wazima na akasema atajitahdi muda si mrefu kuanza kuweka vinunua haja..kwa wale wanaoenda kuvunja amri ya sita
Hivi majuzi mh alianza kwa kujenga vibanda kila baada ya m 300 na baadae kampuni moja ya ubelgiji imepewa kazi ya kuanza kufunga vilindishi..katika hili kagame ametoa mpaka na mataa makubwa kutumika usiku kumaliza kazi alioahidi kabla ya kuondoka na kusema vijan wengi si wnashindwa kutumia condom no ni wanakufa kwa kuona aibu kwenda madukani sasa unauwezo wa kumuaga mwenzio naenda kununua sigara ukageuka na kurudi na zana zako kamili......na kuendelea na azma yako ..sasa swali la utatumia ama lah..hiyo kagame amesema aimuhusu anachojali nenda na coins zako weka bonyeza chagua aina chukua ondoka...swafiiii
Je RAIS kikwete hili litasaidia wale vijana wetu wa kinondoni na sinza wanaomaliza vijana wako???