Mtoto wa jiji
Member
- Feb 9, 2010
- 15
- 0
Utaamini wanachokiandiak Nipashe? Story yao ya Kagame kuishutumu Tanzania wali-monitor BBC. Waliosikiliza BBC siku hiyo watasema kuwa jamaa hakuitaja Tanzania haa mara moja. It is common sense: Rais hawezi kuitaja hadharani na kuishutumu nchi jirani. Alisema wapinzani wake wanaendesha kampaeini kwenye nchi jirani (Burundi na Uganda). Ndoo maana yule mpinzani Deo Mushayidi akakamatwa Burundi. Na hapohapo Waziri wa Mambo ya Nje Lous Mushikiwabo akaenda Uganda. So Tanzania haikuwemo kwenye list. Nipashe walitu-hoax, to rouse nationalism, etc.