Kafulila: Watanzania Wanachagua Mtu, Siyo Sera!

Kafulila F1-4 Uvinza Secondary School-Div 3 (pt sikumbuki) this was 1998-2001
F5-6 Shinyanga Secondary School-Div 2 pt 11 2002-2004
Mara ya mwisho alikuwa anasoma BBA UDSM (this is an eveving class program), mwaka wa kwanza mwaka 2006/7 na kasomeshwa na Chadema anaowaita mabepari. Sina uhakika kama alimaliza mwaka wa tatu na kama alimaliza atakuwa hakufanya vizuri kwa sababu most of times alikuwa anafanya kazi za chama.

Ina maana hajawahi lupata Div 1 then anajifanya kipanga, maana hiyo shule kama ya kuunga unga!!!
 
Wanasiasa wote duniani wako hivyo, you can imagine sera za wanafunzi wote shule ya msingi watakuwa na computer ili waweze kufundishwa kwa online katika nchi kama yetu hii si upumbavu?
Mi naona kuwe na Technologia mtu akikuudhi na yuko kwenye TV unamshuti apo apo kwenye screen na anakufa huko aliko.

aha aha aha hahahaha!
 
Omarilyas,

..CCM ni chama cha Kijamaa kinachoongozwa na majizi na mabepari.

..unazungumzia imani za Tanu, na azimio la arusha,.. wakati kuna viongozi wa CCM hawajui hata kirefu cha SADC ni nini?

..wananchi wa Tz wana matatizo ambayo sasa yamekuwa sugu. kwa msingi huo kila wakati wa uchaguzi wanachagua mtu anayewapa matumaini ya kutatua matatizo hayo.

..wananchi/wapiga kura hawana muda wa kuangalia na kuchambua sera za chama na katiba zake.
 
Omarilyas,
.wananchi wa Tz wana matatizo ambayo sasa yamekuwa sugu. kwa msingi huo kila wakati wa uchaguzi wanachagua mtu anayewapa matumaini ya kutatua matatizo hayo.

..wananchi/wapiga kura hawana muda wa kuangalia na kuchambua sera za chama na katiba zake
.

Hata Hitler na Amini waliwapa watu wao matumaini....

Si kwamba wananchi hawana muda bali hawapewi muda huo na ni viongozi wachache wenye uthubutu wa kuwaongoza wapiga kura katika kutambua umuhimu wa itikadi na sera za vyama katika kuwekeza imani yao kwa mtu ama chama...

Na inapotokea wachache wenye uthubutu wa kuwafumbua macho wananchi kuhus umuhimu wa suala hili hunyamazishwa na wale wasio na uthubutu ama umakini wa kujiaminisha kuhojiwa katika misingi na Imani, Itikadi ama Sera. Yaani wale wachache walio tayari kusema ama kutenda lolote ili mradi wananchi wawaunge mkono na kuwawezesha kufanikisha maslahi na matamanio yao....
 
Pros of Capitalism

Promotes economic growth by providing an open competition in the market.

Capitalism results in a decentralized economic system, whereby individuals are open to more number of options in business. They are exposed to competition and have to face different challenges and find solutions to them to stay in competition. It is in a capitalist economy that hard work is rewarded.

Capitalism gives rise to an economy where the consumers regulate the market. A competitive market provided by capitalism facilitates the manufacture of a wide variety of products and the formation of a wide range of services. Consumers are happier in a capitalist economy. It encourages people to work towards financial freedom. (Tumeona hii kwenye Competition ya Simu bei zinashuka because of competition, I wish even Tanesco had some competition)

Cons of Capitalism

Capitalism makes an economy money-oriented. Business corporations look at the economy with a materialistic point of view. Profitability remains their only primary business goal. Business giants take over smaller companies. Employment rights are compensated with the sole aim of higher productivity.

Kwahiyo dawa si kuwa na 100% Ubepari, bali kuwe na Government Intervention to limit the business owners
 
Pros of Socialism
It is about distributing the wealth of a nation to the masses, to avoid class or caste system. It operates under the assumption that people will be happy if everyone has about the same amount of resources. (The Government takes care of its people – medical care, education, taking care of the elderly etc)

Cons of Socialism
Bureaucratic

Hard to implement; In order for people to have goods and services, someone must supply those goods and services.

there is no incentive to work or produce

Kwa taarifa tu kwa ndugu yetu Kafulila, mpaka sasa Tanzania uchumi wetu unafuata mfumo wa soko huria ambapo ni nguvu za mahitaji ya soko dhidi ya uwezo wa kukidhi mahitaji hayo ndio yanayotoa dira bei ya bidha husika ikae vipi kwa kipindi husika na soko husika.

Mfumo kama huu, hutekelezwa tu CHINI YA SERA ZA KIBEPARI na wala sio chini ya mfumo wowote mwingine wala ule tuliowahi kua nao wa UJAMAA NA KUJITEGEMEA. Kwa msingi huu inamaana licha ya CCM kubakisha sera za UJAMAA NA KUJITEGEMEA kwenye makabrasha yake pengine kwa ajili ya kumbukumbu ya vizazi vijaavyo, mfumo rasmi ambao CCM ya sasa hivi ni ule wa UFISADI NA KUJILIMBIKIZIA kwako mali ya wote. Kwa hivyo, ni aheri ya CHADEMA alichokibani kufuata mfumo wa kibepari kulioko vyama vingine ambavyo vitabu vyao vinaonyesha nembo ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA huru roho zao zikiwa katika ulimwengu wa sera za kibepari na hatimaye kuishia kujibunia mfumo mpya unaofwata falsafa ambao bado hauko wazi sasa kwa wengi.

Nionavyo mimi huu mfumo mpya duniani (Mfumo wa UFISADI na KUJILIMBIKIZIA kwako mali ya wote) ni wa hatari zaidi kwa sababu uendeshwaji wake hautabiriki wala kujulikana wazee kwa watu walioko nje ya mtandao wake. Lakini mfumo wa kibepari unaosimamiwa vizuri na kwa kuzingatia misingi yote ya utawala bora ni sera nzuri kuliko sera tajwa hapo juu.

Mjadala uendelee.
 
David Kafulila mbele ya microphone.

Mbele ya macho ya Watanzania.

Anasema (nanukuu):

"Kama Watanzania wangezingatia sera za vyama wakati wa kuchagua viongozi, basi chadema kisingeshinda". Hajasema kivipi.

Sababu?

"Chadema ni chama cha kibepari" (akapigwa swali na mtangazaji, 'kwani ulipokuwa chadema ulikuwa hujui kama chadema ni cha kibepari?' hajajibu mpaka dakika hii). Akaendelea.....

"Sera za kubepari haziuzi Tanzania".

Maoni yangu.

Watanzania wa leo si wakupigia matarumbeta. Unapokosoa vyama vingine, ukumbuke na kutoa alternative. Chama gani ni bora zaidi ya Chadema?

Nilichokiona kwa bwana Kafulia ni uso wa mtu 'aliyetumwa'. wivu na chuki dhidi ya chadema. Chadema kitasimama.

Kama bwana kafulia amechaguliwa kama 'mtu' na si kwa 'sera', basi hilo ni tatizo la wananchi wake. ana kazi ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi wa jimbo lake. na nina uhakika kama wananchi wa jimbo lake wataipata vema hiyo elimu ya uraia 2015 atarajie kupungukiwa wabunge kwenye chama chake au kukosa wabunge kabisa.

kwa ujasiri nasema:

Chadema msikubali kuungana na CUF na hawa waganga njaa kina kafulia.

Wiki jana pale Tegeta nilisikia tangazo kuwa M/kiti wa NCCR - Mageuzi angeongea na wananchi lakini hawakusema mada; siku iliyofuata niliona mkutano wa hadhara organised by NCCR - Mageuzi na Kafulila alikuwa anaongea; nilichosikia ni kuwa 'mwanzo walikuwepo wakoloni...' Sasa nikajiuliza ni kwa nini Kafulila anaongea kwenye Jimbo la Halima Mdee wa Chadema badala ya yeye kwenda kuongea na anaowawakilisha kule Kigoma?

James Mbatia aliogombea Kawe na kubwagwa vibaya sana na Halima Mdee, sasa inakuwaje anaenda kuongea na watu ambao hawawakilishi? Huyo mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi, James Mbatia, anatumiwa au anamchokoza Halima Mdee na Chadema kwa ujumla. Akiwa kama Mwenyekiti wa kitaifa wa NCCR - Mageuzi kwa nini asitumie uwanja wa jangwani, mwembeyanga, kidongo chekundi au TV na radio kuongea na taifa?

Halima Mdee, please ignore the guy, we voted for you because we need you, and we need you because of your capacity in representing Kawe residents in the august Bunge. Let us know your office so that we can feed you important info and listen to our geniune grumbles and get our pieces of advice. I advise you to let us, Kawe people, know your business e-mail address, mobile phone, landline, blog so that we communicate with you all the time.
 
Pros of Socialism
It is about distributing the wealth of a nation to the masses, to avoid class or caste system. It operates under the assumption that people will be happy if everyone has about the same amount of resources. (The Government takes care of its people – medical care, education, taking care of the elderly etc)

Cons of Socialism
Bureaucratic

Hard to implement; In order for people to have goods and services, someone must supply those goods and services.

there is no incentive to work or produce

VoR capitalism is far superior than socialism for people who are lazy like those living in tropical areas where climate favours them. However, need brain leaders to try to minimise the negative impacts of capitalism is some areas. Canada are doing that is semi-capitalism and semi-socialism and we all know are doing very

Socialism need dictators to implement and that is a case in china, n.korea and Cuba. Nyerere's blended socialism was no exception, he was supposed to be a dictator!

I repeat we need leaders who have 'brain' to know what we need in this country.

So far only Nyerere tried to his capacity to build a system that we have to live with, all other leaders Mwinyi,Mkapa and now JK, they dont even know what country needs for development.

Now is hard to identify whether we are in socialism or capitalism or transformation, we are hanging somewhere, care is needed so that we may not fall in unknown pit!

I bet people dont know socialism or capitalism thingy thats why they choose leaders depending on who they like! not which party they do belong!!
 
Sina la kuongezea hapo. POINTS TAKEN!
 
Brother Omar, note Ronald Reagan is my adopted name note merely alias.
One question among others is, how old is your country? In this context, which utamaduni do you think Tz follows? There was Tanganyika and there is Zbr....then somehow we got Tz. TANU was b4 Tz, Arusha Declaration had it's plus and minus. Other Part manifestos are certainly not to meant as national principles.

I don't know how you equate capitalism and ufisadi. I respect your faculty of thinking but certainly not its outcome.

I was a competent and content hardworker, I'm today an entreprenuer....content and same qualities of old.

If you and I wish to brainstorming how to intergrating capitalism pluses and those of ujamaa into one practical manifesto, well and good. If our aim is to ignate spurs of solutions for the nation's ailings ...great. Outside that, I'm off.
 
Well said Brother.... What we need is the best of everything for the betterment of our Nation........ What works is Capitalism with Government Intervation to make sure the masses are looked after and private companies dont take advantage of them i.e Making sure Taxes from tha haves are being utilised to take care of the needy
 
Kafulila is handsome bwana ila akizaliwa handsome mwingine Kigoma kusini amekwisha
 
hapo kwenye red nimekusoma.

swala la kuwa na akili sasa kwake ni historia.

inaelekea siku hizi hana akili tena. kwa sababu mtu mwenye akili hawezi kuongea utumbo aliokuwa anazungumza leo star tv.

amejaa majivuno tu. kama rafiki yake.

Ndio maana Ng'wanangwa nimekuambia BORA nichukue lile jimbo..... unabisha nakuhitaji kwenye kampeni tafadhali...........

PILI sijadili JAMBO LOLOTE ANALOONGEA SISIMIZI HUYU mpaka uchaguzi unaokuja upite.
 
VoR capitalism is far superior than socialism for people who are lazy like those living in tropical areas where climate favours them. However, need brain leaders to try to minimise the negative impacts of capitalism is some areas. Canada are doing that is semi-capitalism and semi-socialism and we all know are doing very

Socialism need dictators to implement and that is a case in china, n.korea and Cuba. Nyerere's blended socialism was no exception, he was supposed to be a dictator!

I repeat we need leaders who have 'brain' to know what we need in this country.

So far only Nyerere tried to his capacity to build a system that we have to live with, all other leaders Mwinyi,Mkapa and now JK, they dont even know what country needs for development.

Now is hard to identify whether we are in socialism or capitalism or transformation, we are hanging somewhere, care is needed so that we may not fall in unknown pit!

I bet people dont know socialism or capitalism thingy thats why they choose leaders depending on who they like! not which party they do belong!!

Ni kweli tunahitaji kuwa na Dira ya kitaifa ili kufahamu ni mambo gani tunayotaka kuyafanya kwaa maendeleo yetu ya taifa
Bado kuna watanzania wengi tu wanakipa CCM kura kwa sababu ni chama ambaho nyerere alitokea huko kwa hiyo siamini kwamba watu wanapigia kura mtu ni chama kwa ukweli
 
Back
Top Bottom