Kafulila: Watanzania Wanachagua Mtu, Siyo Sera!

Uchunguzi unaonyesha watu walipigia vidole viwili yaani chadema sio watu, mtu akijulikana kuliko chama basi hicho chama kina matatizo kama ya NCCR, kafulila live katumwa dhidi ya chadema jaman aibu kweli ila sishangai hata kura zake zote aliwapa CCM mbona hawaombi ushirikiano na CCM. Hovyo kabisa vyama CCM B
 
Mimi nadhani kuwalaumu wanasiasa haswa hawa wa kizazi cha baada ya mfumo wa chama kimoja kuhusiana na suala la itikadi mtakuwa mnawaonea. Tatizo la mkanganyiko wa kitikadi katika vyama vyetu ni kubwa sana na lenye athari kubwa katika utamaduni wa kisiasa hapa nchini. Na hli linatokana na kuwa watanzania wengi hawana ama hawaamini katika umuhimu wa siasa za kiitikadi.

Nijuavyo CHADEMA kama chama na kwa mujibu wa katiba yao kinafuata itikadi za kibepari kama ilivyo kwa upande wa CCM kinapaswa kufuata itikadi za kijamaa. Lakini ama kwa kukosa umakini ama uthubutu wa kisiasa wanasiasa wengi wamekuwa wakikimbilia kupigia debe sera zinazokingana na itikadi rasmi za vyama vyao na kwa kuwa watanzania walio wengi tumekosa nidhamu ya kufuatilia na kupima mambo kwa mapana yake basi huwa tunaishia kuwashabikia wanasiasa wa aina hiyo. Tumefikia hata kutokuwa na uthubutu wa kutohoji mwenendo wa kisera na kiutekelezaji wa nchi yetu ambayo kikatiba inatamkwa kuwa ni nchi inayofuata siasa za ujamaa na kujitegemea wakati mengi yanayoamuliwa na kutekelezwa yanakinzana na itikadi hiyo.

Naamini moja ya suala linaloibua umuhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo itapatikana kupitia mchakato wa kuhusisha watanzania wote ni umuhimu wa watanzania kukubaliana kama tunapaswa kufuata itikadi gani na kama kuna ulazima wa suala la itikadi likawa suala la kikatiba ama likabaki kuwa suala la kisera.

Tukija kwa ndugu zangu kina Kafulila, Zitto na Mnyika. Nijuavyo hawa wote wanavutiwa na itikadi ya Ujamaa kuliko Ubepari. Na kwa muda mrefu wamekuwa wakijaribu kukivuta CHADEMA kuelekea upande huo kiitikadi lakini bado hawajaweza kufanikiwa kwani chama bado kiko mikononi mwa waumini wa sera za KIBEPARI.

Kiasili Chadema ni chama cha maslahi ya mabwanyenye ambao wakati wa Mwalimu waliminywa na kushindwa kujitanua kisiasa. Lakini hadi sasa kikatiba Chadema ni chama kinachofuata itikadi ya Ubepari ingawa mara nyingi wamekuwa wakipigia chepuo sera zenye mrengo wa kijamaa. Suala ni kama wanaamini katika sera hizo ama ni kwa kuwa sera hizo zinalipa kisiasa?

Suluhu: Sina jibu hadi sasa ni jinsia gani tutajinasua katika tatizo hili.....
 
Kafulila F1-4 Uvinza Secondary School-Div 3 (pt sikumbuki) this was 1998-2001
F5-6 Shinyanga Secondary School-Div 2 pt 11 2002-2004
Mara ya mwisho alikuwa anasoma BBA UDSM (this is an eveving class program), mwaka wa kwanza mwaka 2006/7 na kasomeshwa na Chadema anaowaita mabepari. Sina uhakika kama alimaliza mwaka wa tatu na kama alimaliza atakuwa hakufanya vizuri kwa sababu most of times alikuwa anafanya kazi za chama.

So hizi habari za kuwa alisoma na Zitto sio za kweli, au ni marafiki tu

Hajawahi kusoma na Zitto, wakati yuko Form 2 (au F3 hapa) alikuwa Naibu Katibu mwenezi NCCR Mageuzi wa either wilaya au kata (hapa uhakika sio mkubwa).
Baada ya kumaliza form 6 alijiunga na Chadema na alikuwa kwenye kampeni za Zitto (Zitto saw that the guy is potential and he was using him for his things)

Kafulila alipata nafasi ya kusoma chuo cha Tumaini University-Iringa, Chadema wakamwomba aache ili asome masomo ya jioni huku akiwa anafanya kazi za chama.

NOTE: Zitto na Kafulila wanatoka majimbo tofauti.
Hey! guys!! Je mpaka hapo hamuuoni umuhimu na ubora wa Kafulila? Ina maana aliwazidi mbali wengi ndani ya CDM lakini ni wachache sana wanaoukubali ukweli.

Nilimwambia hapa Yahya M. Kitakachotokea kwenye mdahalo huo. kwa maana wanasiasa wa Tanzania ya sasa wengi wao wamejaa kasumba za proganda. Hata kama ukweli wanauona wanataka sote kiazi tukiite mkate, HAIWEZEKANI nasema tena HAIWEZEKANI!

Ndugu yangu Mwanakijiji ningelipenda sana afanye uchambuzi wa kina wa majibu ya JM, majibu aliyoyatoa yameashiria kuwa ni kweli maneno ya Kafulila kwamba watanzania wanachagua mtu na si sera za chama (kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa hivyo) kwa maana ya ushabiki, kuna mahala wamechaguliwa madiwani ambao hata kuandika majina yao ni kwa mashaka. Sasa tusubiri utendani wa halmashauri hizo utakuwaje

Binafsi yangu nina marafiki ambao ni viongozi ndani ya CDM lakini mara zote hupenda kuwaambia yaliyo ya kweli kwa manufaa ya Tanzania. Ambao hawanielewi wananikwepa kabisa lakini wengine tunakubaliana na kufumbua matatizo pamoja.

ikiwa kweli CDM wanaweza kujisimamia bila msaada wa watu wengine, wakumbuke kuwa chama sio kabila mtu wakati wowote anaweza kubadili chama!!
 
Wanasiasa wote duniani wako hivyo, you can imagine sera za wanafunzi wote shule ya msingi watakuwa na computer ili waweze kufundishwa kwa online katika nchi kama yetu hii si upumbavu?
Mi naona kuwe na Technologia mtu akikuudhi na yuko kwenye TV unamshuti apo apo kwenye screen na anakufa huko aliko.

Kanigini umenipa kucheka mchana huu. Nakupa tano!!!!!!!!!!!!!
 
Kafulila, dhamira yake ilikuwa ni kutaka kuwaelezeni kuwa yeye amechaguliwa kama yeye siyo kwa sababu ya sera za NCCR. Hiyo ndiyo tabia dhahiri ya mtu ambaye anaamini kuwa yeye ni muhimu sana kuliko taasisi (NCCR). Watu wa namna hii kwenye uongozi huwa ni watu wenye kiburi na wasiopenda kusikiliza mawazo ya watu wengine.
 
Mimi nadhani kuwalaumu wanasiasa haswa hawa wa kizazi cha baada ya mfumo wa chama kimoja kuhusiana na suala la itikadi mtakuwa mnawaonea. Tatizo la mkanganyiko wa kitikadi katika vyama vyetu ni kubwa sana na lenye athari kubwa katika utamaduni wa kisiasa hapa nchini. Na hli linatokana na kuwa watanzania wengi hawana ama hawaamini katika umuhimu wa siasa za kiitikadi.

Nijuavyo CHADEMA kama chama na kwa mujibu wa katiba yao kinafuata itikadi za kibepari kama ilivyo kwa upande wa CCM kinapaswa kufuata itikadi za kijamaa. LAkini ama kwa kukosa umakini ama uthubutu wa kisiasa wanasiasa wengi wamekuwa wakikimbilia kupigia debe sera zinazokingana na itikadi rasmi za vyama vyao na kwa kuwa watanzania walio wengi tumekosa nidhamu ya kufuatilia na kupima mambo kwa mapana yake basi huwa tunaishia kuwashabikia wanasiasa wa aina hiyo. Tumefikia hata kutokuwa na uthubutu wa kutohoji mwenendo wa kisera na kiutekelezaji wa nchi yetu ambayo kikatiba inatamkwa kuwa ni nchi inayofuata siasa za ujamaa na kujitegemea wakati mengi yanayoamuliwa na kutekelezwa yanakinzana na itikadi hiyo.

Naamini moja ya suala linaloibua umuhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo itapatikana kupitia mchakato wa kuhusisha watanzania wote ni umuhimu wa watanzania kukubaliana kama tunapaswa kufuata itikadi gani na kama kuna ulazima wa suala la itikadi likawa suala la kikatiba ama likabaki kuwa suala la kisera.

Tukija kwa ndugu zangu kina Kafulila, Zitto na Mnyika. Nijuavyo hawa wote wanavutiwa na itikadi ya Ujamaa kuliko Ubepari. Na kwa muda mrefu wamekuwa wakijaribu kukivuta CHADEMA kuelekea upande huo kiitikadi lakini bado hawajaweza kufanikiwa kwani chama bado kiko mikononi mwa waumini wa sera za kijamaa.

Kiasili Chadema ni chama cha maslahi ya mabwanyenye ambao wakati wa Mwalimu waliminywa na kushindwa kujitanua kisiasa. Lakini hadi sasa kikatiba Chadema ni chama kinachofuata itikadi ya Ubepari ingawa mara nyingi wamekuwa wakipigia chepuo sera zenye mrengo wa kijamaa. Suala ni kama wanaamini katika sera hizo ama ni kwa kuwa sera hizo zinalipa kisiasa?

Suluhu: Sina jibu hadi sasa ni jinsia gani tutajinasua katika tatizo hili.....
Huo ndio UKWELI AMBAO WATANZANIA HAWAPASWI KUUFAHAMU! NA HUO NDIO UKWELI AMBAO SIKU ZOTE WANAOUSEMA HUPEWA MAJINA YA AINA TOFAUTI.

MAJAWABU YA SWALI HILO WANAYO WANASIASA WENYEWE, AIDHA WAKISHINDWA BASI WANANCHI NDIO WATAKAOJINASUA KWENYE MAKUCHA YA SIASA MBOVU.
Kwani watu hawatadanganyika kwa muda wote... iko siku watatoka usingizini, iko siku watapatikana watu wapya. Ambao leo hii wanabezwa kwa sababu upepo bado unalisukuma tanga kuelekea upande fulani. Ambao wanajua Tanzania maradhi yake ni yapi. Ambao watakuja kutofautisha propaganda na ukweli... na hapo wananchi wenyewe ndipo watakapotoa hukumu ya haki kwa kilio chao cha siku nyingi.
 
Whats wrong with that statement? kuwa watu wanachagua mtu na si sera that is reality!! sidhani kama kwa Tanzania statement ya Kafulila ni ya kwanza au ni mpya!!! may be kwa sababu aliyesema ni Kafulila!

Guys mnajua unapo-mcriticise mtu ni vizuri kuwa mkweli ili aibu ya kuonekana mjingana mshabiki angalau ijifiche!!!

In those good old days people liked Nyerere as Nyerere not because he was CCM! this is incontrovertible truth!Sera za CCM mpaka kesho hazihuziki!! People vote for Slaa because they know him he is against corruption but not because he is in Chadema!!!!

Leo Magufuli akisimama for president , is not suprising that those 2 million who voted for Slaa majority may vote for Magufuli! we have seen even in JF!!! kuwa kuna wanachadema vipofu ambao wawaliwashabikia Sita na Mwakyembe regardless of their political party they belong!!

Bottom line is that people have never experienced another taste of policy apart of CCM's which I dont know if they do exist in real life!! kutokana na hilo swal la sera si kipaumbele cha watu

Sijaona kosa la Kafulila liko wapi!!! kuwa alikuwa chadema ndani ya hizo sera haina maana hawezi kuwa na itikadi zingine!

Guys hizi issue hamuoni kama zinachimba shimo? tupo
 
Tukija kwa ndugu zangu kina Kafulila, Zitto na Mnyika. Nijuavyo hawa wote wanavutiwa na itikadi ya Ujamaa kuliko Ubepari. Na kwa muda mrefu wamekuwa wakijaribu kukivuta CHADEMA kuelekea upande huo kiitikadi lakini bado hawajaweza kufanikiwa kwani chama bado kiko mikononi mwa waumini wa sera za kijamaa.

Kiasili Chadema ni chama cha maslahi ya mabwanyenye ambao wakati wa Mwalimu waliminywa na kushindwa kujitanua kisiasa. Lakini hadi sasa kikatiba Chadema ni chama kinachofuata itikadi ya Ubepari ingawa mara nyingi wamekuwa wakipigia chepuo sera zenye mrengo wa kijamaa. Suala ni kama wanaamini katika sera hizo ama ni kwa kuwa sera hizo zinalipa kisiasa?

Suluhu: Sina jibu hadi sasa ni jinsia gani tutajinasua katika tatizo hili.....

Ujamaa as we know it is DEAD......... Where are the fore runners of Ujamaa... Russia?.... China?..... Maybe you can have a case kidogo kuhusu Cuba..

My point is Mwananchi wa sasa does he care about this so called names CCM (Inafata Ujamaa wakati viongozi are eating everything without sharing with community) Chadema (The ones you are calling Mabepari lakini wanafight for free education, afya and etc)

So Please lets stop about this labelling.... These are all modes of production as society evolves from Gentilian Society to Feudalism to Capitalism or Socialism..... Hakuna nchi in the world ambayo its 100% Communists nchi karibia zote sasa ni za kipebari
 
Whats wrong with that statement? kuwa watu wanachagua mtu na si sera that is reality!! sidhani kama kwa Tanzania statement ya Kafulila ni ya kwanza au ni mpya!!! may be kwa sababu aliyesema ni Kafulila!

Guys mnajua unapo-mcriticise mtu ni vizuri kuwa mkweli ili aibu ya kuonekana mjingana mshabiki angalau ijifiche!!!

In those good old days people liked Nyerere as Nyerere not because he was CCM! this is incontrovertible truth!Sera za CCM mpaka kesho hazihuziki!! People vote for Slaa because they know him he is against corruption but not because he is in Chadema!!!!

Leo Magufuli akisimama for president , is not suprising that those 2 million who voted for Slaa majority may vote for Magufuli! we have seen even in JF!!! kuwa kuna wanachadema vipofu ambao wawaliwashabikia Sita na Mwakyembe regardless of their political party they belong!!

Bottom line is that people have never experienced another taste of policy apart of CCM's which I dont know if they do exist in real life!! kutokana na hilo swal la sera si kipaumbele cha watu

Sijaona kosa la Kafulila liko wapi!!! kuwa alikuwa chadema ndani ya hizo sera haina maana hawezi kuwa na itikadi zingine!

Guys hizi issue hamuoni kama zinachimba shimo? tupo

Is being against corruption Slaa's personality?

Dah!

Mwanangu na wewe umetoa kali ya wiki.

Endelea kuchapa 'maji ya mamba'
 
Whats wrong with that statement?

Kosa ni wording alizotumia kwamba ingekuwa sera basi Chadema isingeshinda, There come the question which he did not answear, So who would have won? what about him did people choose him or sera za NCCR? . Also lets not insult people as I know watu walivutiwa na Chadema through offering things like kupigana na ufisadi, elimu na afya bure as well as track record ya wabunge wao kufatilia issues, not forgeting people are tired with CCM. PLEASE LETS NOT CONFUSE THE ISSUE HERE WITH SOME TECHNICALITIES
 
Whats wrong with that statement? kuwa watu wanachagua mtu na si sera that is reality!! sidhani kama kwa Tanzania statement ya Kafulila ni ya kwanza au ni mpya!!! may be kwa sababu aliyesema ni Kafulila!

Guys mnajua unapo-mcriticise mtu ni vizuri kuwa mkweli ili aibu ya kuoneka na mjingana mshabiki angalau ijifiche!!!

In those good old days people liked Nyerere as Nyerere not because he was CCM! this is incontrovertible truth!Sera za CCM mpaka kesho hazihuziki!! People vote for Slaa because they know him he is against corruption but not because he is in Chadema!!!!

Leo Magufuli akisimama for president , is not suprising that those 2 million who voted for Slaa majority may vote for Magufuli! we have seen even in JF!!! kuwa kuna wanachadema vipofu ambao wawaliwashabikia Sita na Mwakyembe regardless of their political party they belong!!

Bottom line is that people have never experienced another taste of policy apart of CCM's which I dont know if they do exist in real life!! kutokana na hilo swal la sera si kipaumbele cha watu

Sijaona kosa la Kafulila liko wapi!!! kuwa alikuwa chadema ndani ya hizo sera haina maana hawezi kuwa na itikadi zingine!

Guys hizi issue hamuoni kama zinachimba shimo? tupo
Waberoya!! Niseme nini tena hapo? Bluu: Kosa la Kafulila ni kuusema ukweli usiotakiwa kusikika haswa akiwa upande wasioshabikia basi. Laiti kama kafulila angelikuwa anayasema hayo akiwa CDM ah! makofi shangwe na vigelegele angepigiwa.
LINDI LA USINGIZI bado limetutanda. UPOFU WA KINAZI UMETUZINGIRA. Sijui kwanini??? nashindwa kuelewa sababu hivi kwanini HATUJIFUNZI KUSIKILIZA NA KUPIMA MAMBO KWA KINA??? Hivi aliyeturoga alikufa na uchawi wake??? Jamani hata kama kusoma HATUJUI HATUWEZI HATA KUTAZAMA PICHA?
 
kosa ni wording alizotumia kwamba ingekuwa sera basi chadema isingeshinda, there come the question which he did not answear, so who would have won? What about him did people choose him or sera za nccr? . Also lets not insult people as i know watu walivutiwa na chadema through offering things like kupigana na ufisadi, elimu na afya bure as well as track record ya wabunge wao kufatilia issues, not forgeting people are tired with ccm. Please lets not confuse the issue here with some technicalities
huo ndio ukweli wenyewe. Ulitaka andazi aliite chungwa???
kWA TAARIFA YAKO, HALMASHAURI ZITAKAZOONGOZWA NA CDM SASA ZINAJIPANGIA ZITAENDESHWAJE NA SI KUFUATA SERA ZA CHADEMA!!!
 
Mh!hii yote ni wivu kwa chadema!alifikiri akihama chadema,basi chadema ingekufa!lakini hali haikuwa hivyo.Chadema ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo.
 
Waberoya!! Niseme nini tena hapo? Bluu: Kosa la Kafulila ni kuusema ukweli usiotakiwa kusikika haswa akiwa upande wasioshabikia basi. Laiti kama kafulila angelikuwa anayasema hayo akiwa CDM ah! makofi shangwe na vigelegele angepigiwa.
LINDI LA USINGIZI bado limetutanda. UPOFU WA KINAZI UMETUZINGIRA. Sijui kwanini??? nashindwa kuelewa sababu hivi kwanini HATUJIFUNZI KUSIKILIZA NA KUPIMA MAMBO KWA KINA??? Hivi aliyeturoga alikufa na uchawi wake??? Jamani hata kama kusoma HATUJUI HATUWEZI HATA KUTAZAMA PICHA?

Toa mifano. Kwamba ni lini na wapi viongozi wa chadema walizungumza mambo ya kipuuzi tukawapigia makofi.

au wewe ni kafulia?
 
huo ndio ukweli wenyewe. Ulitaka andazi aliite chungwa???
kWA TAARIFA YAKO, HALMASHAURI ZITAKAZOONGOZWA NA CDM SASA ZINAJIPANGIA ZITAENDESHWAJE NA SI KUFUATA SERA ZA CHADEMA!!!

Who cares myfriend hata zikiendeshwa kwa kufuata satanic ideas who cares so long as they will offer what they said Elimu, Afya na kuwabana the so called fisadis who cares....... This labeling of Ujamaa, Ubepari they are just that labels and has nothing to do with the contents
 
Mh!hii yote ni wivu kwa chadema!alifikiri akihama chadema,basi chadema ingekufa!lakini hali haikuwa hivyo.Chadema ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo.

this applies to Zitto as well.

Chadema kipo kwenye damu za watu sasa hivi.

yeyote anayeongea mabaya kuhusu chadema tunamuona Muongo mkubwa
 
kWA TAARIFA YAKO, HALMASHAURI ZITAKAZOONGOZWA NA CDM SASA ZINAJIPANGIA ZITAENDESHWAJE NA SI KUFUATA SERA ZA CHADEMA!!!

uongo wa mchana kweupeeeeeeeeeeeeee!

acheni chuki.

acheni wivu.

acheni majungu.

acheni uzushi.

mawazo ya kinafiki hayana tija kwa WaTZ.

maneno ya namna hiyo mukayaseme kwa watoto wenu majumbani mwenu watawaelewa.
 
Is being against corruption Slaa's personality?

Dah!

Mwanangu na wewe umetoa kali ya wiki.

Endelea kuchapa 'maji ya mamba'

Asante kwa majibu yako, I thought umeanzisha hoja kutaka majibu na wewe uko neutral! na hata kama hauko Neutral basi utajibu kuvutia kwako kwa point murua! nasema alichosema Kafulila ndio ukweli nchi hii, unamfahamu JOHN SHIBUDA?? Mpendazoe naye si alishinda (mimi niko Segerea) na wanaume wakachakachua? tatizo liko wapi au ulifikiri woote humu viziwi wa yes yes tu!!! katika post iliyopita nimekupa mifano ya Nyerere, Magufuli , na sasa nimekuongezea Shibuda ili ujue naismamia ukweli na si ushabiki!!

By they way unamaana Slaa yuko against corruption kwa sababu yuko chadema, na akienda chama kingine hatakuwa akipigana na ufisadi! I mean alivyoondoka CCM hakuwa against rushwa, ila baad ya kuwa chadema, ina maan chadema ina mechanism ya ukiingia tu, automatically unakuwa unachukia rushwa?? hata kama Rostam akiingia leo CDM! so in other words Slaa ni kama robot tu akiambiwa ili anaenda na hana misimamo yake! who is controller?

I am sober sinywi pombe, wala sikushauri utume post humu ukiwa umelewa , lakini hii uliyotuma haujalewa uko fit kabisa, nadhani wakati unaituma haukuwa tungi, ila majibu baada ya hapo yanainyesha uko tungi.

Dogo tuendelee
 
Back
Top Bottom