Kafulila: Tusimhukumu Zitto kwa uKigoma bali dhamira, upeo na uadilifu

Status
Not open for further replies.

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447

David Kafulila

TUSIMUHUKUMU ZITTO KWA UKIGOMA.

Napita kwenye mitandao naona inajengeka dhana ya kijinga kabisa kwamba mgogoro wa CHADEMA unaomuhusisha zitto unajadiliwa na baadhi ya watu kibaguzi na kwa dhana ya historia kwamba watu wa Kigoma wanapenda au ni waroho wa madaraka kwa kutoa mifano ya baadhi ya wanasiasa waliogombea kwenye vyama na kusababisha mvutano.

Mimi niseme tu kwamba Kigoma ni sehemu ya Tanzania na watu wake wana haki zote za kugombea Kama wengine. Nachokijua kuhusu Kigoma ni mkoa wenye kupenda kuhoji na wasiopenda kabisa kubuluzwa au kufugwa akili.

Ndio maana huu ndio mkoa pekee ambao ccm waliburuzwa vibaya..huu ni mkoa ambao ccm ni Chama cha upinzani kwani kina majimbo3 huku upinzani ukiwa na majimbo5.

Hakuna mkoa mwingine uliochapa ccm Kama Kigoma. Ni mfano wa kuigwa na mikoa mingine Kama tunataka mabadiliko kweli. Tusihukumu mkoa kwa kutoa watu wanaopenda kugombea eti ni uroho wa madaraka, no!

Mbona pale bungeni Kati ya vyama 5 upinzani vyenye wabunge vyama vitatu vinaongozwa na wenyeviti wenye asili ya mkoa mmoja wa Kilimanjaro ? Na hatusemi kwamba watu wa kilimanjaro ni waroho wa madaraka kwasababu kila mtu anajua alifikaje alipofika hivyo tusitake kujenga dhana ya watu Fulani hawastahili na watu Fulani wanastahili Bali tuangalie dhamira, upeo na uadilifu, basi. Na sifa hizo sio za kijiografia.
 
Uchaguz wa mwaka 2005 palikuwa na wagombea 10 ambapo wagombea saba wote walikuwa watu toka kilimanjaro.tuseme nn hapo na hawakubahatika shika usukan
 
Ubunge wenyewe aliupata kwa kufanyiwa kampeni na Zitto asubiri 2015 matokeo yake kwani itabidi ajifanyie mwenyewe kampeni na nina wasiwasi kama chama chake kitampitisha kugombea Ubunge maana ana mgogoro na Mwenyekiti
 
Kafulila umenena ukweli halisi, we should not consider regionalism when we contest for leadership posts,,whoever deems fit can do...
 
Ni kwamba kigoma hawapendi kulidhiana. Niwasaliti. Kutokana na historia. Watu wa kilimanjaro ni wapenda maendeleo tofauti kigoma ambao wapo radhi wakatambikie ili fulani asifanikiwe.
 
uyu mbunge wa mahakama bado yupo??? uchaguz ujao sasa atagombea kwa tiketi ya chama gani??
 
sawa mkùu ,naona mipango ya kuimarisha CHAUMMA sasa ni lazima iwe mikali coz mgombea urais keshapatikana.vipi,hivi DANDA JUJU umempotelezea wapi?
 
Uchaguz wa mwaka 2005 palikuwa na wagombea 10 ambapo wagombea saba wote walikuwa watu toka kilimanjaro.tuseme nn hapo na hawakubahatika shika usukan

Inajulikana wazi, na wala hakuna anayeweza kubisha kuwa watu wa mkoa wa KILIMANJARO ni waroho wa kila kitu, pengine kwa sababu ya uroho huo ndiyo maana hata mtu kutoa roho yake na au ya mingine kwa sababu ya KITU siyo jambo la ajabu. Hata kwenye ardhi ukipakana na Mkilimanjaro iko shida!!
 
Taswira sawa tumekuelewa. Kwa kutuletea ndugu kafulila ambaye anajitahidi kumtetea shoga yake zitto. Sipingi zito kutetewa na rafiki ya kafulila kwani yeye zito ndiye aliye mpigia kampeni hadi amefanikiwa kujumuika nae mjengoni. Kiukweli zito alijitahidi sana
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Zitto
R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?
 
David Kafulila

TUSIMUHUKUMU ZITTO KWA UKIGOMA.

Napita kwenye mitandao naona inajengeka dhana ya kijinga kabisa kwamba mgogoro wa CHADEMA unaomuhusisha zitto unajadiliwa na baadhi ya watu kibaguzi na kwa dhana ya historia kwamba watu wa Kigoma wanapenda au ni waroho wa madaraka kwa kutoa mifano ya baadhi ya wanasiasa waliogombea kwenye vyama na kusababisha mvutano.

Mimi niseme tu kwamba Kigoma ni sehemu ya Tanzania na watu wake wana haki zote za kugombea Kama wengine. Nachokijua kuhusu Kigoma ni mkoa wenye kupenda kuhoji na wasiopenda kabisa kubuluzwa au kufugwa akili.

Ndio maana huu ndio mkoa pekee ambao ccm waliburuzwa vibaya..huu ni mkoa ambao ccm ni Chama cha upinzani kwani kina majimbo3 huku upinzani ukiwa na majimbo5.

Hakuna mkoa mwingine uliochapa ccm Kama Kigoma. Ni mfano wa kuigwa na mikoa mingine Kama tunataka mabadiliko kweli. Tusihukumu mkoa kwa kutoa watu wanaopenda kugombea eti ni uroho wa madaraka, no!

Mbona pale bungeni Kati ya vyama 5 upinzani vyenye wabunge vyama vitatu vinaongozwa na wenyeviti wenye asili ya mkoa mmoja wa Kilimanjaro ? Na hatusemi kwamba watu wa kilimanjaro ni waroho wa madaraka kwasababu kila mtu anajua alifikaje alipofika hivyo tusitake kujenga dhana ya watu Fulani hawastahili na watu Fulani wanastahili Bali tuangalie dhamira, upeo na uadilifu, basi. Na sifa hizo sio za kijiografia.
wewe pumba kweli uroho wa madaraka unakuwa pale unapokuwa madarakani au pale unapogombania kuwa madarakani? na hao walio viongozi walifika vipi? kwa njia chafu au kwa kupitia katiba vya vyama husika? Nyie ndio wabunge tulionao Bungeni wenye akili fupi kama zako!
 
Inajulikana wazi, na wala hakuna anayeweza kubisha kuwa watu wa mkoa wa KILIMANJARO ni waroho wa kila kitu, pengine kwa sababu ya uroho huo ndiyo maana hata mtu kutoa roho yake na au ya mingine kwa sababu ya KITU siyo jambo la ajabu. Hata kwenye ardhi ukipakana na Mkilimanjaro iko shida!!
Tusaidieni hayo majina ya wana Kilimanjaro waliogombea urais? Cause najaribu kuweka kumbukumbu sawa but still ninawapata 2 tu!
 
Uchaguz wa mwaka 2005 palikuwa na wagombea 10 ambapo wagombea saba wote walikuwa watu toka kilimanjaro.tuseme nn hapo na hawakubahatika shika usukan

Na hawatakuja shika usukani watabaki kuwa makonda tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom