Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 14,366
- 22,673
Ndio hapo nasema ni kweli tunahitaji UBIA kwenye issue kama hii..., kama tunaona hatuwezi kufanya vema au kitu sio huduma 100 percent basi serikali iachane na hicho kitu na kiwe free market na kuleta ushindani, kila mtu aingie kivyake na kufanya... Au serikali ibaki na vichache (alternative) na vingi waachiwe kila mwenye nguvu ashindane...Wakifanya vya kwao huo ni uwekezaji sio Ubia
Kwahio Serikali inaweza kuwa na ferry moja na kuwaita wote wanaoweza na wenyewe walete za kwao na kushindana...