TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 420
- 353
Hoja yako ni kweli, Wanaume ni upigaji kwenda mbele
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.