luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,938
Pasco tunaomba jibu la swali hili,ni CDM waliotunga kanuni hiyo?? Vp kesi za ccr kwa cdm je huo nao ni umoja,unapolazimisha umoja wakati nyuma ya pazia unafanya yasiyo ya umoja si ni unafiki, kuwa muwazi pasco tusitetee tu kisicho haki,cuf zanzibar wameungana na nani aliye chama cha upinzani kuonyesha umoja???