Kafulila: Pinda Mzigo Namba Moja Serikalini!

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Mbunge David Kafulila amemjia juu Waziri Mkuu Pinda Bungeni hivi sasa akimtuhumu kuwa ndio mzigo namba moja katika Serikali ya JK! Amesema mawaziri kadhaa wametajwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuwa ni mizigo serikalini, lakini ukweli ni kwamba mzigo unaanzia kwa Waziri Mkuu kwa kuwa hachukua hatua panappohitajika, haheshimiwi na wala haogopwi na mawaziri na watumishi wa ngazi za utendaji! Akasema endapo Waziri Mkuu haheshimiwi basi ni bora aogopwe ili mambo yaende!!
 
Mwisho wa cku tutakubali Kauli ya Mnyika. Tumefika hapa kwa sababu ya Udhaifu wa........ Wa .......na wa .......
 
Kwa kweli kuwa na raisi kama Kikwete ni fedheha lakini kuwa na PM kama Pinda ni AIBU KUU... Muongo, goigoi, mvivu... yani yupo yupo tu... hajui hii nchi inaendaje...
 
Ukweli ndio huo. CCM ina kanuni yake inayosema kwamba "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi". Katibu mkuu wa ccm (kinana), katibu mwenezi (nape) wametekeleza vyema dhana hii kwa kuweka wazi kwamba kuna mawaziri mizigo. Kinana alienda mbali na kusema kwamba yapo madudu mengi ambayo serikali ya ccm imeyafanya, na kuomba msamaha kwamba sasa itajirekebisha. Mbali ya Kinana na Nape, mwenyekiti ccm taifa (Kikwete)aliwapa ukweli viongozi wa ccm kwamba wanafanya mambo ya ovyo na ni wao ndio wtakiangusha chama kwani wanalinda maovu. Kikwete alienda mbali na kuwabeza na kauli zao za "wembe ni ule ule" kwamba wembe huo utawakata wenyewe.

Haya ya Kinana, nape, kikwete, tumekuwa tunayasema sana humu kwa muda mrefu kama wanachama wa CCM lakini tumeambuliwa tu kubezwa na kina ZeMarcopolo, MwanaDiwani, zomba na wanalumumba wengine walioapa kuitete ccm unconditionally. Nabakia kujiuliza inakuwaje wakubwa zao wa Lumumba wanapokuja na hoja zile zile tunazojenga katika kuikosoa ccm, wanakimbia mijadala.

Tubadilike.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Tuache utani serikari imejaa mizigo lakini pinda ni zigo,tena zigo la misumari,halibebeki.hatujawahi kupata waziri mkuu bomu namna hii.tatizo la pinda wala sio upole,ni uwezo wake mdogo tu.....
 
Kubadilisha waziri mkuu kwa sasa itakuwa ngumu kwani itavuruga calculations za wahusika kukwaa urais kupitia ccm 2015. Kuweka waziri mkuu ambae ni mchapa kazi katika kipindi hiki kitamweka mstari wa mbele katika kupata nomination ya ccm. Unless mabadiliko hayo yalete mtu "wao" katika nafasi ya uwaziri mkuu au aje mwingine ambae sio threat. Kusema haya haina maana kwamba ninatetea ubovu uliopo bali hoja ya msingi ni kwamba ni mara chache sana teuzi kama hizi kuendana na merit, na akitokea mtu anaepata kwa merit, basi hadumu.

Cc Nguruvi3
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Tuache utani serikari imejaa mizigo lakini pinda ni zigo,tena zigo la misumari,halibebeki.hatujawahi kupata waziri mkuu bomu namna hii.tatizo la pinda wala sio upole,ni uwezo wake mdogo tu.....

Halafu kuna wazee "wanafiki" ndani ya ccm walienda kumtaka eti agombee Urais 2015....kama nihivyo bora Joyce Banda, atawale hadi Tza.
 
Ukweli ndio huo. CCM ina kanuni yake inayosema kwamba "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi". Katibu mkuu wa ccm (kinana), katibu mwenezi (nape) wametekeleza vyema dhana hii kwa kuweka wazi kwamba kuna mawaziri mizigo. Kinana alienda mbali na kusema kwamba yapo madudu mengi ambayo serikali ya ccm imeyafanya, na kuomba msamaha kwamba sasa itajirekebisha. Mbali ya Kinana na Nape, mwenyekiti ccm taifa (Kikwete)aliwapa ukweli viongozi wa ccm kwamba wanafanya mambo ya ovyo na ni wao ndio wtakiangusha chama kwani wanalinda maovu. Kikwete alienda mbali na kuwabeza na kauli zao za "wembe ni ule ule" kwamba wembe huo utawakata wenyewe.

Haya ya Kinana, nape, kikwete, tumekuwa tunayasema sana humu kwa muda mrefu kama wanachama wa CCM lakini tumeambuliwa tu kubezwa na kina ZeMarcopolo, MwanaDiwani, zomba na wanalumumba wengine walioapa kuitete ccm unconditionally. Nabakia kujiuliza inakuwaje wakubwa zao wa Lumumba wanapokuja na hoja zile zile tunazojenga katika kuikosoa ccm, wanakimbia mijadala.

Tubadilike.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
CCM inasema, "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi".
WEWE unachosema na kukitenda "kudharau na kudharauliana ndiyo siraha ya mapinduzi".

Tofauti yangu (mwanaCCM) ninakosoa na wakati wewe hoja zako nyingi niza kudharau.

Unapokuja na vidharau kuelezea utendaji wa viongozi usitegemee kusikilizwa na wanaCCM makini, bali tegemea pia kudharauliwa na vihoja vyako. Maneno kama "wanalumumba" ni dalili ya dharau na katika dharau hiyo, hatuwezi kuzivumilia.

CCM tunakosoana na kuwajibishana. Hata kwenye hotuba unazozisema zimejengeka katika eneo hilo na siyo katika dharau.

Kwa mtu mwenye hekima na busara hawezi kuchangia katika hoja yenye dharau na kudharirisha viongozi. Unapoona watu hawachangii kwenye hoja lazima ujiulize na kuangalia kwanza mapungufu ya hoja na siyo mapungufu ya wachangiaji.
 
Lazima niseme kwamba lumumba imejaliwa kupata political spinners. Hongera kwa kuruka kihunzi, lakini umetua pale pale iwapo utasoma ulichaondika na kulinganisha na maudhui ya hoja yangu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CCM inasema, "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi".
WEWE unachosema na kukitenda "kudharau na kudharauliana ndiyo siraha ya mapinduzi".

Tofauti yangu (mwanaCCM) ninakosoa na wakati wewe hoja zako nyingi niza kudharau.

Unapokuja na vidharau kuelezea utendaji wa viongozi usitegemee kusikilizwa na wanaCCM makini, bali tegemea pia kudharauliwa na vihoja vyako. Maneno kama "wanalumumba" ni dalili ya dharau na katika dharau hiyo, hatuwezi kuzivumilia.

CCM tunakosoana na kuwajibishana. Hata kwenye hotuba unazozisema zimejengeka katika eneo hilo na siyo katika dharau.

Kwa mtu mwenye hekima na busara hawezi kuchangia katika hoja yenye dharau na kudharirisha viongozi. Unapoona watu hawachangii kwenye hoja lazima ujiulize na kuangalia kwanza mapungufu ya hoja na siyo mapungufu ya wachangiaji.

Mzee wa Lumumba naona umekasirika ........... anyway, Pinda ni mzigo au siyo mzigo.
 
Hawana training kujadili maswali kama haya, na akijaribu kujibu, it will be full of spinning kuliko a hurricane. Vinginevyo sana sana pinda akitolewa, watakuja na pongezi kede kede za ujumla tu kwa mabadiliko yaliyotokea na kwa busara na hekima za mamlaka ya uteuzi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukweli ndio huo. CCM ina kanuni yake inayosema kwamba "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi". Katibu mkuu wa ccm (kinana), katibu mwenezi (nape) wametekeleza vyema dhana hii kwa kuweka wazi kwamba kuna mawaziri mizigo. Kinana alienda mbali na kusema kwamba yapo madudu mengi ambayo serikali ya ccm imeyafanya, na kuomba msamaha kwamba sasa itajirekebisha. Mbali ya Kinana na Nape, mwenyekiti ccm taifa (Kikwete)aliwapa ukweli viongozi wa ccm kwamba wanafanya mambo ya ovyo na ni wao ndio wtakiangusha chama kwani wanalinda maovu. Kikwete alienda mbali na kuwabeza na kauli zao za "wembe ni ule ule" kwamba wembe huo utawakata wenyewe.

Haya ya Kinana, nape, kikwete, tumekuwa tunayasema sana humu kwa muda mrefu kama wanachama wa CCM lakini tumeambuliwa tu kubezwa na kina ZeMarcopolo, MwanaDiwani, zomba na wanalumumba wengine walioapa kuitete ccm unconditionally. Nabakia kujiuliza inakuwaje wakubwa zao wa Lumumba wanapokuja na hoja zile zile tunazojenga katika kuikosoa ccm, wanakimbia mijadala.

Tubadilike.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mchambuzi, mwenyekiti, Katibu Mkuu, mjumbe wa secretariat wakiyasema hayo, ni nani anapaswa kubadilika katika chama? Au kwa lugha ingine ni nani anayearibu katika chama?
 
Last edited by a moderator:
CCM inasema, "Kukosoa na kukosolewa ndio silaha ya mapinduzi".
WEWE unachosema na kukitenda "kudharau na kudharauliana ndiyo siraha ya mapinduzi".

Tofauti yangu (mwanaCCM) ninakosoa na wakati wewe hoja zako nyingi niza kudharau.

Unapokuja na vidharau kuelezea utendaji wa viongozi usitegemee kusikilizwa na wanaCCM makini, bali tegemea pia kudharauliwa na vihoja vyako. Maneno kama "wanalumumba" ni dalili ya dharau na katika dharau hiyo, hatuwezi kuzivumilia.

CCM tunakosoana na kuwajibishana. Hata kwenye hotuba unazozisema zimejengeka katika eneo hilo na siyo katika dharau.

Kwa mtu mwenye hekima na busara hawezi kuchangia katika hoja yenye dharau na kudharirisha viongozi. Unapoona watu hawachangii kwenye hoja lazima ujiulize na kuangalia kwanza mapungufu ya hoja na siyo mapungufu ya wachangiaji.

Ukishaanza. Kuangalia hoja kwa mtazamo huo, utakuwa vigumu kujikosoa. Siyo wote wanaongea kwa stahili au mfumo unaoutaka kuusikia, lakini wanakuwa na hoja za kufanyia kazi. Binadamu hawakuumbwa sawa mwanadiwani. Kwa hakika hata wewe hoja zako unavyozitoa haziwapendezi wote...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom