Kafulila: Pinda Mzigo Namba Moja Serikalini!

Mwisho wa cku tutakubali Kauli ya Mnyika. Tumefika hapa kwa sababu ya Udhaifu wa........ Wa .......na wa .......

kweli hata ZZK aliwahi kukusanya sahihi za kutokuwa na imani na Pinda. Mimi naona wote wawili rais na waziri mkuu ni dhaifu! Hakuna mwenye nafuu hapo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom