Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

Status
Not open for further replies.

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
================
TAARIFA:
Mhe. Kafulila kakanusha kutoa kauli iliyowekwa chini na kasema "Kilichoandikwa kimewekwa na wabaya wa Mhe. Zitto kwa nia wanazojua wao." Tumeufunga mjadala huu kwakuwa ni sawa na kujadili kitu kisichokuwepo!

Kafulila:
"Ni kweli pendekezo la Zitto nilisimama kutaka kurekebisha kwasababu lilikuwa la jumla kwa wahusika wote. Wakati nasimama Werema akachomeka kwamba hilo pendekezo lilikuwa sawa kisheria, ndipo Mnyika naye akamchomekea Werema kuwa "Hata wewe?" Kwamba hata Werema alokwisha kukiri kukosea naye tusimuhukumu tumwachie rais. Ndio ulikuwa msingi na si kama mdau alivyoandika"
================

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) David Kafulila amesema kuwa ameshamsamehe Mbunge Zitto Kabwe lakini hatamsahau kamwe. Kafulila alikuwa akiongelea suala la Zitto kuungana kihoja na kiuandishi wa maazimio na Mbunge Andrew Chenge.

Kafulila,anayesemwa kushibana na Zitto,amesema kuwa katika nyakati ngumu maishani ule wa Zitto kuungana na Chenge ni mmoja wao. "Nikajikuta nauliza kwa sauti:hata wewe!?. Lakini nimemsamehe na mambo yanaendelea. Lakini,sitamsahau" alisema Kafulila.

Ni dhahiri Zitto alijikwaa na kupepesuka Ijumaa. Awe makini wakati mwingine.

Mzee Tupatupa wa Escrow,Dar es Salaam
 
Kwani ni kwake?
 
Hakuna cha maana hapo siasa siyo kupinga kila kitu hata chenye mantiki zitto japo ni mwizi lakini alikuwa sahihi kwani hoja ya chenge ilikuwa iko vizuri.
 
Tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu, yes, muda ule zitto walimchanganya akajikuta amekubaliana na pendezo mfilisi la Chenge na ndio maana alipoulizwa mara ya pili na spika, alijibu hayuko kwenye position ya kucomment. tulimwelewa mpiganaji wetu hilo si tatizo kubwa kivile
 
Hakujikwaa
Namjua vizuri sana yule masikini.

Alikuwa anajua nini kitafanyika dakika ya mwisho na akaandaliwa kukipitisha.

Uzuri watu wengi hawana imani naye,sio mtu wa kumtegemea asilimia mia.

Na aina ya mchezaji ambaye mko timu mmoja ambaye unapaswa kumuamini baada ya kukupa pasi na sio wakati ana mpira,tena akiwa na mpira ni bora umkabe.

Hatabiliki
 
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) David Kafulila amesema kuwa ameshamsamehe Mbunge Zitto Kabwe lakini hatamsahau kamwe. Kafulila alikuwa akiongelea suala la Zitto kuungana kihoja na kiuandishi wa maazimio na Mbunge Andrew Chenge.

Kafulila,anayesemwa kushibana na Zitto,amesema kuwa katika nyakati ngumu maishani ule wa Zitto kuungana na Chenge ni mmoja wao. "Nikajikuta nauliza kwa sauti:hata wewe!?. Lakini nimemsamehe na mambo yanaendelea. Lakini,sitamsahau" alisema Kafulila.

Ni dhahiri Zitto alijikwaa na kupepesuka Ijumaa. Awe makini wakati mwingine.

Mzee Tupatupa wa Escrow,Dar es Salaam

Hata mimi alinisikitisha sana
 
zitto alijkwaa zamani sana na hajaanza leo.kufukuzwa chadema ilikuwa hatua ya mwisho au mazishi.kinachoonekana sasa i uozo wa maiti.
 
Mtemi Chenge alituingiza chaka, Zitto ni binadamu and he was in good faith aliingia mkenge uliotegeshwa na Mtemi Chenge

in other way around Zitto alimuingiza Anna Makinda Mkenge ila mama akastuka na kuamua kufuta maazimio ya awali kwani yangetafuna mpaka Pinda.
 
Last edited by a moderator:
Maazimizo ya cheyo yalikuwa yanamshauri rais kywawajibisha wote akiwemo waziri mkuu!

Maana yake ni kuwa CCM wasingeshtuka kichwa cha pinda kingekuwa kimeliwa!
 
Hakujikwaa
Namjua vizuri sana yule masikini.

Alikuwa anajua nini kitafanyika dakika ya mwisho na akaandaliwa kukipitisha.

Uzuri watu wengi hawana imani naye,sio mtu wa kumtegemea asilimia mia.

Na aina ya mchezaji ambaye mko timu mmoja ambaye unapaswa kumuamini baada ya kukupa pasi na sio wakati ana mpira,tena akiwa na mpira ni bora umkabe.

Hatabiliki
daa!!! yaani mchezaji mko naye timu moja lakini akiwa na mpira umkabe!!,nimecheka sana na siku ya leo sidhani kama ntapata jambo lingine la kunichekesha zaidi ya hili.
 
Nilipomuona muheshimiwa sana usiku ule ilibidi nifikiche macho pengine nilikuwa naota kutokana na kelele za jenereta baada ya tanesco kufanya yao.

Huyu jamaa hatabiriki, alikatisha sana tamaa. Ni kuchoka au kuchoshwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom