Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Mar 2, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naona mods wameamua kutuletea post chonganishi za miaka hiyo.

  Ukawa haidanganyiki.

  Go! Go! Go! UKAWA. VIVA DAVID KAFULILA.
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ana maumivu ya kutoswa kuwa mwenyekiti wa moja ya Kamati za Bunge
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo katika magazeti huyu kijana amenukuliwa akisema CDM dawa yao ndogo hivo Rais asiwaogope atamsaidia kuwafix,tujiulize huyu kijana hana kazi nyingine vita yake ni kwa cdm tu?kama anavyofanya mwenyekiti wake??wapinzani wa staili hii cjui kama wanahitajika
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mwenyekiti wake bwabwa ati...unatarajia awe na mawazo gani zaidi ya uozo?
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Halafu ndiyo wanataka ushirikiano na chama dume, NEVER, kamwe CDM wasiwashirikishe hawa changu doa wa kisiasa CUF na NCCR, hayawani wakubwa hawa.
   
 6. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Achana naye Muha huyo hana lolote. Anataka kupata mgao wa DOWANS kutoka kwa Rostam. Tulisha mtosha CDM siku nyingi. Hatuna hamu naye tena
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  haya na yeye keshafundishwa kale kamchezo ka bosi wake
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maoni yake, na kasema kweli kama Chadema wanavunja sheria wachukuliwe hatua.
   
 9. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sheria ipi inavunjwa na chadema mkuu katavi?
   
 10. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  kafulila KAFULIA. Hana lolote
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Na nyie muwe na uvumilivu wa kisiasa na sio kila mwenye mtazamo tofauti mnamporomoshea matusi. Ongezeni kwa mfano!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wao na rais wanadai eti chadema wanataka kuiingiza nchi katika machafuko, ina maana kuna sheria zinavunjwa. Basi badala ya kulalamika vyombo vya sheria vipo ambavyo vinaweza kushughulikia hali hiyo.....inavyoonekana wanaiogopa chadema kama kweli inavunja sheria.
   
 13. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna ukweli kuhusu majina, Kafulila ni KAFULIA hawezi kuwa na jipya, anyway anajaribu ku-boost chama chake kilichojifia kifo cha mende, Chadema inaongoza nchi hususan Kikwete kwani kila hotuba anajibu hoja za Chadema bila hata kuwaza utekelezaji wa ahadi zake. Chadema kila kila sifa ya kushika hatamu ya taifa hili
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  Kwa hii move inatuongezea uhakika kuwa CDM wanaona mbali ...wakamfukuza mapema kwenye safu ya watendaji! Tunasoma tambo zake na sidhani kama ataenda mbali.
   
 15. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ninamuheshimu kafulila na ninaamini siku moja atarudi CHADEMA hasa baada ya hasira au kutofautiana na viongozi wa CDM kutakapokwisha. Ninawaomba wanaCDM wenzangu tumuelewe huyu ndugu na wala tusiwe na hasira naye sana ili tumfanye awe karibu nasi.

  Kwa kukaa kwake NCCR MAGEUZI si muda mrefu atagundua wale viongozi wake wa juu hawana malengo aliyonayo naye kwa sababu ana nia ya kuona demokrasia inakua atakimbia. Tusimshambulie sana ili kuepusha kina mbatia na Hamad Rashid kuzidi kumfanya rafiki kwa faida zao wenyewe
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  alifukuzwa CDM na sasa anadhiirishia umma wa waliomchagua na WaTZ wote kuwa sio mpiganaji bali mganga njaa! Tusubiri tuone atakapoishia maana DOWANS ndio hiyo 'Mtoto wa peasant' kasema inawashwa. Pia anauhakikishia umma kuwa CDM waliona mbele kumtimua
   
 17. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mtazamo wa kujenga unakubalika na sidhani kama kuna mtu ataupinga, Chadema wanaandamana kwa amani, wanaeleza matatizo yanayowapata watanzania kwa sasa, bungeni hawasikilizwi lazima waende kwa wananchi, kafulila mtazamo wake ni negative mno ndio maana haeleweki na mitazamo hii tutaendelea kuipinga.
   
 18. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tusubiri tuone.
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hakika wewe ndo ubwete kabisa. sasa wewe badala ya kufanyia kazi yaliyosemwa unaanza kumchambua kwa kabila lake. Hapa unaonesha ulivyo duni katika kuitumia akili ipasavyo. Tatizo chadema ina wahuni wengi ndo maana hata michango mingi humu haijatulia, ni ya kuchochea vurugu. Hakika naamini humu wengi ni wasomi wajinga.

  Kafulila unamjua alivyo jembe mpaka wahuni wa CDM mnamtamani kwa fujo na mnajutia kumfukuzisha.
   
 20. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kafulila anatafuta umaarufu kupitia kuikosoa chadema lakin hana lolote mnafiki huyu. Maandamano yote yanafanyika kwa amani na lengo ni kukamata dola mwaka 2015 kwa njia ya uchaguzi mkuu.

  Tunamfahamu Kafulila sio mpinzani wa kweli ndio maana alitoswa chadema siku nyingi. Asimfanye rais kikwete kama mtoto mdogo yeye ameshauona moto wa chadema na mwitikio wa umma ndio maana akaamua kulisemea hilo. Kafulila anaposema chadema hawatishi ana lake jambo.
   
Loading...