Kafulila:Bajeti ya wizara ya kilimo ni ya kizee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila:Bajeti ya wizara ya kilimo ni ya kizee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jul 20, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,965
  Likes Received: 37,514
  Trophy Points: 280
  Katika kuonyesha kutokuridhika na bajeti ya wizara ya kilimo mh.Kafulila amesema bajeti hiyo ni ya kizee.Hata hivyo kuna mbunge alitoa taarifa akitaka mh.Kafulila afute kauli hiyo kitu ambacho kafulila hakikukubali.
  Hata hiyo, kabla ya mjadala huo haujaanza leo jioni, mh.Ole Sendeka alisimama na kutoa hoja akitaka bajeti hiyo iondolewe bungeni kabisa. Hata hivyo alikosea kanuni na muongozo wake ulikataliwa na mwenyekiti wa bunge.Sababu alioitoa mh.Ole sendeka ya kutaka bajeti hiyo iondolewe ni kuwa anataka ikapangwe upya kwasababu ktk bajet hiyo zaidi ya sh bilioni 50 inategemea wahisani na ni sh bilioni 14 tu ya fedha ktk bajeti hio ndio itatoka ktk fedha za ndani.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Yanga 2 APR 0, achana na bunge lililojaa wabunge wa magamba wanaotumia meya wa jiji kufikiri.
   
 4. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha haaa, kweli hii bajeti ni ya kizee!
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kafulila kakosea wazee heshima. Unaposema ni ya kizee maana yake nini? Inamaana wazee hawana maana? Kwa nini asingesema haikizi haja ya kimaendeleo?
   
 6. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daifu + kizee= ccm + kikwete
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kilimo bongo ni stress
   
 8. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angesema imezama na skugit
   
 9. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  kafulila alimwita ole sendeka mze wa tanu, mbona hawakusema aondoe kauli yake?kimsingi bajeti ya sekta ianayotoa ajira ya watu 75% vijiji haiwezekani ikawa 14 bil na 50bil itoke nje hii kufulu.Pia bil 212 za kwenye bajeti ya serikali mbona hazimo kwenye bajeti ya wizara?kama si kiini macho? hakuna mkakati wa masoko kama kurudisha ushirika.Kwa ujumla mkulima ni yatima.Napata shaka, mfumko wa bei utatlemka vipi wakati hatuna mikakati ya kuongeza uzalishaji wa chakula?bajeti dhaifu, wao wanajua kumuua ulimboka, na kuwa dhaifu kusimamia vyombo vya bahari
   
Loading...