Kafulila awafungua macho vijana juu ya mgogoro wa chadema

Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,479
388
MGOGORO WA CHADEMA ...nawasihi vijana na Ndugu zangu watanzania tusiujadili kwa udini na ukabila. Tutajenga msingi mbaya kwa taifa letu zuri. Tukubaliane kwamba hakuna dini wala Kabila lililohusika na mgogoro huu isipokuwa mapungufu ya viongozi husika katika mgogoro wenyewe. Tusimjadili Mbowe, Slaa au Zitto na Kitila kwa misingi ya uchagga au ukristo au uislamu. Tujadili hoja. Hakuna ukristo wala uislamu au uchagga unaohusika hapa. Kinachohusika hapa ni mapungufu ya wahusika tu. hoja zilizopo zinatosha kujadili hili jambo bila kuingiza uchagga au ukaskazini wa Mbowe, tunaweza kuendelea kujadili bila kuingiza ukigoma au uha wa zitto. Tunaweza kujadili bila kuingiza ukristo wa Mbowe na slaa au uislamu wa zitto. Tujadili hoja tu. Tusiwape watu hadhi za udini na ukabila wasizokuwa nazo
 
Uroho wa madaraka. Mbowe na genge lake hawataki kuachia ngazi, wamekigeuza chama kuwa saccos
 
Chadema inakufa kwa sababu ya ulafi wa viongozi wake halafu hawataki kuhojiwa
 
hapo umesema maana muda mwingi watanzania sasa tunajadili kwa mtazamo wa udini na ukabila na si mtu.
 
Mi naamin Hakna mgogoro chadema

kilichobaki n CC ya chadema kufanya kazi yake

n bora zaid kumfuga simba nyumban,kuliko kuishi bila kujua kuwa kna nyoka ndani

ni wakat wa kuponda vichwa vya nyoka/wasaliti

kila penye harakat za ukomboz wa kweli huzalisha SHUJAA,na bahat nzur wasalit hawajawahi kukumbukwa na historia

m1,m2,m3,mm watakufa mara nying kabla ya kifo chenyewe

siku 9 zmebaki,naiomba CC ya CDM isimumunye maneno
islee dhambi km watanii wa jadi wanaoish na mafsad ndan yao

wagiriki waliwahi kusema

SAUT YA WENG N SAUT YA MUNGU
 
'Sisimizi' kafungua tena kwa busara mjadala uliofungwa na Kibaraka wa Mtei.
 
Hata rais kutoka kigoma tusijadili pia maana ukigoma huo. Mapinduzi yako yaliishia wapi NCCR? uenyekiti bado unautaka? Nasikia majimbo kigoma mlijipangia ili rais atoke mojawapo ya chama.

MGOGORO WA CHADEMA ...nawasihi vijana na Ndugu zangu watanzania tusiujadili kwa udini na ukabila. Tutajenga msingi mbaya kwa taifa letu zuri. Tukubaliane kwamba hakuna dini wala Kabila lililohusika na mgogoro huu isipokuwa mapungufu ya viongozi husika katika mgogoro wenyewe. Tusimjadili Mbowe, Slaa au Zitto na Kitila kwa misingi ya uchagga au ukristo au uislamu. Tujadili hoja. Hakuna ukristo wala uislamu au uchagga unaohusika hapa. Kinachohusika hapa ni mapungufu ya wahusika tu. hoja zilizopo zinatosha kujadili hili jambo bila kuingiza uchagga au ukaskazini wa Mbowe, tunaweza kuendelea kujadili bila kuingiza ukigoma au uha wa zitto. Tunaweza kujadili bila kuingiza ukristo wa Mbowe na slaa au uislamu wa zitto. Tujadili hoja tu. Tusiwape watu hadhi za udini na ukabila wasizokuwa nazo
 
Kikubwa n hawa wanaojifanya waasisi wachama ndio wanosababisha migogoro ndan ya chama, knachotakiwa n kfanyika uchaguz mkuu ndan ya chama na kwel ionekane mbele za watu kwamb uchaguz umefanyika na sio danganyatoto. Zito katafutwa muda mref na hasa kukubalka kwake mbele za wananch knawapa hof maadui zake na tutaendelea kumkubal coz n kiongoz anayejiamin na acyeyumbishwa km wao wanavodhan!
 
Uchaguzi ni wa 2015, kukamata dola wacha kuweweseka, hiyo ndiyo habari!!
MaCCM matumbo moto, na Mzee wa utegi mpe salaam CDM inadunda tuu!!!
 
Back
Top Bottom