Kafara la Mtumishi wa Umma, Ndugu Daniel Maleki, Je Qur’an Aliitoa Wapi?

Hivi nyie Wat’TZ mnaakili gani ? Why you guys acting so insane?

1. Unasema nilichoandika ni Uongo
2. Unaniambia nitoe ushahidi juu ya kile ulichosema ni Uongo.
3. Tatu unaniomba kwa heshima na taadhima nitoe majibu ya kile ambacho umekiita ni UONGO, Old Madame, are you Mad or Insane( excuse my language, you are acting stupidly)

Hata hivyo, Mimi sio kazi yangu kukufundisha yaliyomo Kwenye imani yako ; you should come here with facts and tell me nilichoandika sio kweli based on this and that.

My home Work to you;

Since you seems you don’t know any things except what you chose to know;

Now go and read or ask your Shekh —How Quran was compiles after the death of Muhammad. The Prophet hakuacha hiyo misahafu mnayotumia nyie kwa sasa.

Quran imekusanywa wakati wa Ukhalifa wa Abubakar baada ya kuona many Muslims died Kwenye Violence za ku defending Islamic faith. Sasa Go and read the whole process including the challenges untill today you are using that version, old woman.

Don’t come here and ask me to do your task again. Come here with the facts and maturity, tell me where I have lied based on available data. Otherwise you are a sheep .
Usituchoshe huna unachojua kuhusu uislamu una dandia dandia tu hueleweki .uislamu umeusoma wapi ?? Hadi uje kujifanya ww unajua sana alaf eti sisi tukaulize masheikh ebu chukua time
 
Hili nalijua na ninataka ushahidi wa hayo uliyo yadai kuhusu kukusanya kwa swahaba Abubakar hili halina shaka na ni maarufu sana. Hizo porojo zako ulizo hoji ndio unatakiwa uweke ushahidi. Usikimbie maswali.
 
Usituchoshe huna unachojua kuhusu uislamu una dandia dandia tu hueleweki .uislamu umeusoma wapi ?? Hadi uje kujifanya ww unajua sana alaf eti sisi tukaulize masheikh ebu chukua time

Wengi kama hawa huwa wanasikia tu habari au kusoma mitandaoni bila kuhakiki kisha anatuletea ujinga.

Hana ushahidi huyo mpaka anakufa.
 
Mad!

Yaani mimi ndiyo nikutafutie hizo Aya! Huna access ya kujifunza au wewe ni roboti . You put things without Questioning and learning.

Huu ndio uchizi ambao nimeujadili; eti weka hizo aya hapa , are you serious you old man ?

Waulize Waislam wenzio waliosoma vema or Go find it for yourself.

I don’t write rumeurs, I put things that everyone can verify and criticize. Sasa ni kazi yako kuja na facts. Sio kuniambia weka hizo aya; who are you wewe kuniambia niweke aya ? . You don’t even know how to differentiate between request and command.

Search it for yourself. Lazy Man
Unajiaibisha tu chuki zako mkuu

Kwa waisilamu hata Quran upoteze karatasi zote haisaidii kitu maana kuna mamilioni ya watu wamehifadhi quran.

Na hata huo muda unaosema kwamba quran ilikusanywa haimaanishi watu walikuwa wakitegemea hayo makaratasi kusoma quran bali majority yao walikuwa wanaijua kwa kuihifadhi.

Haijawahi kutokea kipindi chochote toka uwepo wa mtume hadi leo kukakosekana watu waliohifadhi quran na watu wakategemea makaratasi.

Na ukija kwenye makaratasi msahafu wa kwanza hadi leo upo na hakuna mushkeli wowote ule wa quran nyengine ambayo ni tofauti na hii.
 
Amini na kuambia, nimeshakuta mahala hawa hawa wenzetu makusudi kabisa bible inafungiwa visheti!!! Tena mtaani bila aibu, imechanwa chanwa na wanafunga vitafunwa tena nizile bible zinazo gawiwa bure na mashirika ya dini!!!

Na wanajua kabisa kwamba hile ni bible lakini walikuwa wanaifungia vitafunwa hivyo!

Nnacho jua hawa ndugu zetu wako so sensitive sana linapokuja swala la dini yao na kitabu chao,

ila ni watu wenye dharau sana kwenye dini za wenzao na kitabu tofauti na chao!!! Kama vile kuita watu makafili tena hadharani, na mpaka maofisini kwetu humu serkalini wengine hawatoi hata mikono ya salam kwa watu wasio waislam! Na wala hawataki kuguswa na mtu asiye muislam!!!

Leo wamefurahia sana kufukuzwa kazi kwa aliye chana kitabu chao kitukufu, lakini wao biblia wanaichana kabisa na kufungia ivyo visheti

sijui sema sababu hawa wengine wanafundishwa kusamehe na kuendelea na mengine wakati wao wanafundishwa kupigana na kulipiza kisasi!!!

Tuache unafki tupendane!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je , Ndugu Maleki alitoa wapi Qur”an wakati ule? Ni nani aliyempa hiyo Quran? na kwanini alimpa? kwanini walimrekodi?

Je Serikali inafahamu kwamba aliyetoa hiyo Juzuu-Amma na kumpatia Maleki ni Muislamu ambaye na ndiye aliyekuwa akichukua hiyo video?

Tukiwa tuna hukumu upande mmoja tu, je haya matukio yataisha? Tutafukuza kazi watumishi wangapi?

Ukifuatilia matukio yote TZ ya kuchanwa kwa Quran, ni mabishano yanayoanzishwa na Muslims katika dhana kwamba Quran itakudhuru, je ni wangapi wamedhurika? Kama hakuna, hii inakupa jibu gnani?

Nina muelewa Magufuli alichokifanya ni sahihi kwa mujibu wa NYAKATI.

Lakini ifike pahala Serikali ikemee haya matukio ya Waislamu ku provoke watu kwa maneno yao ya kudhurika. Ni katika mazingira magumu sana asiyekuwa muislam aende kununua Quran na kuja kuichana.

Popote penye tukio kama hili, basi ni lazima chanzo awe Muislam. Futilia hata lile tukio la yule mtoto aliyechana Quran enzi ya Utawala wa JK. Quran ililetwa na Mtoto wa kiislam kwa mabishano kuwa atakufa, did he die?

Disemba 2019, Quran ilichanwa Tanga, tukio ambalo halijasambaa. Ni baada ya vijana wa kiislam kwenda kuomba msaada wa mchango. Kijana wa kikurya akasema hana hela, wale vijana wakampa Quran, kijana wa kikurya akasema siamini haya mambo na akaichana baada ya mabishano na hao vijana.

Dini Zote Hizi Ni Ugonjwa Wa Akili, na zote zimejengwa katika misingi ya Violence na Vita. Hivi kuna dini yoyote ambayo ilisimama bila kumwaga damu? And still they justify that it was right to defend their faith by bloodshed. huu ni Uwendawazimu Kabisa.

Ni Ukichaa Kuamini Kwamba Uislam Ni Dini Pekee Ya Kweli Na Nyingine Ni Za Uongo, Ni Uwendawazimu Kuamini Kwamba Christianity Is the Only Way to Heaven, And Jesus Is Lord. Ni Upuuzi Kuamini Kwamba Jews Are the Only Chosen people of God and others being just slave.

Hakuna huyo Mungu aliyekufanya wewe uwe kwenye dini ya kweli na mwingine kuwa dini ya uongo. Huu ni Uchizi wa Akili.

Ni Ukichaa Kuamini Kwamba the Bible or Torah Has Been Infiltrated, Kwamba Quran Has Never Been Infiltrate.

Do you know how Quran was compiled after the death of Prophet Muhammad saw? Do you know how many verses were left behind during the compilation of Quran? Do you know how many verses were denied openly during the compilation and they were true verses?

Do you know how many verses were taken from the single source? Do you know that there were two Quran Versions during the time of ‘Uthman Ibn Affan and one of the Version was burned just because it was considered as a false version?

Who knows that it was false version? And how do you know that the version you are using now is a true one? Do you know how many verses were translated from local Arabic Language into Quraysh dialect to make sense?

With these questions, it makes sense that Quran can’t be the book that has never been infiltrated.

Being in Arabic Language doesn’t make it Original.

So we have to stop this madness na hii little ego, no one is better than anyone else.

HAKUNA ANAYEDHURIKA, acheni ku provoke people na Serikali ikemee haya matendo na kukamata wote wenye ku provoke watu kwa sababu haya matukio ya uchizi wa kuamini Fulani atadhurika akikojolea Kitabu kitakatifu hayatoisha tukiwa tunahukumu upande mmoja.

Hatuwezi Kutoa Maamuzi Kwa Mihemko Ya Kidini Na Kisiasa. Dini Zote Ni Imagination of the Things No One Can Tell You for Sure.

People Will Tell Their Experience Not the Truth.

The Truth Is Still a Mystery.

Thank you
Madhara yapi unayataka ? Ameshapata tayari kwa maana ya kuachishwa kazi, kutiwa ndani nk. Au ulitaka kitabu kiwe na mikono kimchape ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nimelisema sehemu mbalimbali hapa... Ila ndo hivyo.

Katika hili Rais na Waziri walihemkwa.

Wamechemka vibaya sana.
 
Mimi nimekuelewa mkuu

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh, Tanzania nadhani ni kati ya nchi zenye Uhuru mkubwa sana wa kutoa mawazo lakini sio kuchana na kuharibu Katiba au Miongozo ya wengine.
Ni Mbunge kutoka CCM tuu aliwahi kuchana chana Hotuba mfu ya Serikali mfu ya upinzani Bungeni hata hivyo alishangiliwa na Chama Tawala na bunge likaendelea kwa nderemo na vifijo. Ule pia ulikua ni wendawazimu kama ulivyo wendawazimu wa kuichana Korani Tukufu.
Jambo la muhimu ni kuwa mkuu wa Dola amechukua hatua stahiki tofauti na mkuu wa Bunge alishindwa kuchukua hatua stahiki Mbunge Wake alipochana Hatuba ya Kambi rasmi ya Bungeni. Vyote ni vichocheo vya uvunjifu wa amani.

Lakini suala la ukabila pia linawezekeana likatafsiriwa hivyo lakini nadhani pia kuna Mmoja ametumia dini vibaya na kusababisha vifo vya makumi ya watu wasio na hatia zaidi ya ujinga lakini hakulala hata mahabusu na serikali ikaonekana kumtetea kuliko Jamii iliyopoteza watu wao.
Huenda labda sababu ikawa hiyo uliyoisema hapo au vinginevyo.

Kukemea na kuchukua hatua kwa wavunjifu wa amani kusiishie kwenye masuala ya dini. Pia wakurugenzi wanaovuruga matokeo ya Uchaguzi halali unaowapa watanzania Viongozi nao pia wafukuzwe mana Mara nyingi wamekua chanzo cha umwagaji wa damu na kuumizwa watu hata kujenga chuki kwenye Jamii.

Matokeo ya Jamii inayodhani kuwa hakuna Demokrasia ni kuibuka kwa mijadala ya kijinga na mihadhara na mikutano yenye mihemko ya kidini na kimila isiyo na matumizi ya maarifa.

Ujinga katika jamii ni zao la ujinga katika fikra ,ujinga katika siasa na ujinga katika za mbinu za uchumi.

Mfano : Ukifika Kule jijini Mwanza ,Moshi mjini na vijijini au Kagera Ukachoma Hata Kanisa sio kuchana Biblia, watu wale watakaa kimya na kusalia nje kwenye mahema huku wakitoa michango yao na kuendelea kujenga Kanisa lingine. Bila shaka sababu ni Maendeleo ya kifikra ,kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Naunga mkono Kufukuzwa Kazi kwa huyo aliyechana Korani.
Hayo ndiyo madhara ya kuchana kitabu cha Dini.
Aliambiwa atadhurika akabisha sasa amefukuzwa Kazi.
Anayebisha ajaribu tena atapata madhara ya kufungwa Jela.

Tujenge Taifa lenye usawa na kuheshimiana kwa imani zetu ,vyama vyetu na makabila yetu.

Watanzania tuwe kama yule Muzungu anayeipeperusha bendera ya Taifa kwenye mchezo wa mpira na kushauriwa kuwa Sasa atumie jina La Kabila kubwa na kuitwa Masanja.
Tumeanza kutambuana kwa makabila yetu.
Naona kama vile tunataka kutambika.!!
Kwa Heri Baba wa Taifa.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kati ya wachangiaji bora kabisa katika huu uzi.

Last week tumeshuhudia mwamposa akisababisha maafa ila serkal ili muacha huru kwa kuangalia mazingira ya tukio.Jana pia serikali imetumia busara kummufu kazi mtumishi mmoja ambaye pengine angesababisha chuki na kuibua maswali mengi pindi ambapo angeachwa .
Amani inalindwa kwa nguvu sana ila tu watu wanachukulia simple tu kyina wanatoka ndani ya boma na kurudi salama.Tudumisheni amani ndan ya nchi hii na tuheshimu dini za wengine
 
The point here ni kuhakikisha kwamba tunaweka misingi juu ya wote wanaohusika kwenye matukio kama haya wanawajibishwa

.
Mwenye kuleta chokochoko na mwenye kutenda wote wanapaswa kuadhibiwa.

Na ndio tunauliza swali je unafahamu aliyempa huyo mtumishi hicho kitabu ? Na unafaham aliyekuwa anachukuwa hiyo video ? Na je unafahamu aliyeisambaza?

Hii ni chain ambayo yote ilipaswa kuwajibishwa kwa Maana hawa wote wanaweza kuvuruga Amani.

Kuwaacha hawa watu ni kuendelea kwa haya matukio. That was the point.
 
Naunga mkono kuangalia upande wapili kwenye matukio kama haya.

Kama kunaalie kuwa anabishana nae kwamba ukichana utapata madhara na akampa then akachana,nahuyo aliekuwa anabishana naye nayeye achukuliwe hatua mana wote niwavunjifu wa amani, na hawaziheshimu dinizao.

Kama unaheshimu dini yako na kitabuchake huwezi kuanza kubishana na mtu hadikufikia kumpa kitabu achane,huo ni uchokozi wa kijinga ambao unaweza kuleta madhara kwenye jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom