Huyo kala K ya watu halafu kataka kusepa bila kulipa......,
Huyo kala K ya watu halafu kataka kusepa bila kulipa
atakuwa anadaiwa na mama ntilie
sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
......,
Mke wake (huyo baunsa) kamfumania na nungayembe fulani, anamrudisha home sasa wakaongee
wanaongea kwa lugha anayo ijua huyo mama. #ChaMtemaKunikumkwida shati namna hiyo kuna kuongea kweli hapo...?????