Kafanya kosa gani??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
......,
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    38.9 KB · Views: 476
pengine alikuwa kt maandamano huku mtwara akipigania gas kwanza uhai baadaye au harakati za move for change.
 
Mke wake (huyo baunsa) kamfumania na nungayembe fulani, anamrudisha home sasa wakaongee
 
kalipiwa ada hataki kwenda shule .............. anakaa kijiweni kucheza bao/karata!!
 
anarudishwa nyumbani ili akachukue jembe akalime ili ailee familia....maandamano ya vyama uchwara na vya kuchumia tumbo hayana tija kwa familia.
 
Nilikuwepo eneo la tukio. Huyu dogo alikimbilia katika pool table baada tu yakumaliza lunch.
Alisahau wajibu wake wa kusafisha sahani aliotumia kwa chakula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom