Kadushi kamtorosha shahidi baada ya Tsunami ya maswali! Eti kaanguka ghafl hawezi kujibu maswali!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Baada ya Tsunami ya maswali kutoka kwa Kibatala, John Maly an Prof Safari, wakaomba break. Kurudi tu Kadushi akaiambia mahakama kuwa shahidi ameanguka ghafla na hivyo hawezi kujibu maswali! Mahakama ikaihairisha kesi mpaka kesho.
Hakuna cha kuanguka wala kusimama, ni Tsunami ya maswali. Nendeni mkajipange, lakini maswali hamjui yatakuja kwa stlye gani! si mlimuandaa mkajiridhisha kuwa ameiva, sasa kiko wapi? Tangu lini matokea ya form 4 yakatoka mwezi wa 12 mwishoni!
 
Back
Top Bottom