kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena.
Zamani wanaume walikuwa responsible sana kwa familia zao, lakin wanawake walikuwa watiifu kwa waume zao, kadri siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya, wacha tusubiri tuone.
Zamani wanaume walikuwa responsible sana kwa familia zao, lakin wanawake walikuwa watiifu kwa waume zao, kadri siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya, wacha tusubiri tuone.