Kuna mmoja kati ya wateja ni kipofu huyo upande wa kushoto, Lakini nashangaa anasoma Gazeti na pili kuna mteja anatumia kinywaji ambacho nahisi kina madhara ambayo tumeyazoea au hatujui
Pia eneo hilo kama linapatwa na shida flani eneo lote
Nimejaribu tu ila ningependa ufafanuzi mzuri wa hii picha tafadhari
Pembeni ya anaesoma gazeti ni restroom kuna mkono wa mtu anapigwa kipande..kikombe cha chai hapo ni sumu na anaekunywa amishaandika WILL kwenye diary hapo.pemben ya mama alemshika mkono mtoto kwa chini kuna pweza
Pembeni ya kipofu anaesoma gazeti kuna mlango wa kioo na kwa ndani inaonekana kama sio kuna mauaji yanafanyika basi kuna mateso yanaendelea maana kuna alama za mkono tena za damu mtu anataka kujiokoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.