Kadri miaka inavyosonga wanawake watakuwa watongozaji wazuri

Jitu Refu

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
823
804
Watakuwa watongozaji wazuri kwa maneno na siyo kwa vitendo (mitego) kama ilivo zoeleka, tena na kwasasa na usawa huu unavobana nazani ma-bachelor watapata Phd kabisa, kwasababu haya matangazo ya kutafuta mume yamekuwa mengi siku hizi.

Jumamosi nilikuwa kwenye harusi kuna dada alienda kwa MC na kumwambia atangaze kuwa anatafuta mume wa kumuoa na namba ikarushwa kwenye tangazo na sifa nyingi za binti huyo sasa wadada wameamua.

USHAURI: Nyie wadada tafuta pesa, jijenge wewe mwenyewe kimaisha ukiwa vizuri tafuta bwana utakayempenda oa a.k.a muweke ndani hakuna namna.
 
Kutongoza mtu kunatokana na hisia ama utamani wa kua na mtu, sasa apo nakushangaa unavojadili kuusu mwanamke kutongoza as if mwanamke hana hisia yani

Sema uo ushauri ukiuweka upande wa wanaume utakua mzuri zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom