Kadregree Kamoja kasikutie kiburi

3330

Senior Member
May 17, 2021
177
250
Watu wa kanda maarufu ya Kigoma wanaongea sana. Hawa niwachukulie kama sample ikitokea sio nipo kwa ajili ya kukosolewa kwa sabb hii ni milki. Nitaridhia.

Hawa wajombi nilitokea kuwa nao nkaribu takribani miaka mitatu chuo...sikuiona kadhia yao hii...nlijionea baadae. Wanaongea sana, majigambo kwa sana, vihela kidogo tu basi watu hatukohoi. Baadhi huiona hii kero kamwe hawasemi.. Nyie wajameni mnakauhaya flani.....

Nijuavyo mie hakuna binadamu asiyependa kusifiwa, si vizuri kupaisha mambo...subiri au kaa kimya wajumbe wakupe kiki wenyewe...hawa wajombi wanapaza mambo ukichunguza sana wanataka kiki....amenunua ka spacio, basi wewe na Escudo anataka Muwe sawa. Why usisubiri?? Imetutokea tunafanya mabiashara kusave kahela kako basi yeye anapiga Kazi kampuni X basi maneno Mingi Utadhani anafanya BOT.

Watu wale isomile wanaonewaga bure nchi hii inaviumbe wanakasoro nyingi nina imani tutaendelea kuchukuliana kawa tu. Si poa sana kujikweeeeza hadi kero. Aliyeanzisha Dharau hii lazima ni mtu wa huko

Ukiona nimekukera wewe kosoa tu, Kadregree Kamoja kasikutie kiburi Kigoma hoyeee
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
4,059
2,000

Watu wale isomile wanaonewaga bure nchi hii inaviumbe wanakasoro nyingi nina imani tutaendelea kuchukuliana kawa tu. Si poa sana kujikweeeeza hadi kero.

Ukiona nimekukera wewe kosoa tu, Kadregree Kamoja kasikutie kiburi Kigoma hoyeee
Chuo gani ulisoma?

Mbona hujui kuandika?
 
Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,616
2,000
Kuna jiwe limerushwa kwenye kundi la mbwa,wameanza kupiga mayoe-nchi hii ina safari ndefu sana sio kwa dharau hizi daah haya mkuu.Mungu akubariki.
 
Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,086
2,000
Tabia hizo tunazo waafrica sasa hujakutana na mijitu ya kutoka west africa wakina nshomile cha mtoto,wanapenda sifa
 
Lugumya

Member
Apr 26, 2021
94
900
Watu wa kanda maarufu ya Kigoma wanaongea sana. Hawa niwachukulie kama sample ikitokea sio nipo kwa ajili ya kukosolewa kwa sabb hii ni milki. Nitaridhia.

Hawa wajombi nilitokea kuwa nao nkaribu takribani miaka mitatu chuo...sikuiona kadhia yao hii...nlijionea baadae. Wanaongea sana, majigambo kwa sana, vihela kidogo tu basi watu hatukohoi. Baadhi huiona hii kero kamwe hawasemi.. Nyie wajameni mnakauhaya flani.....

Nijuavyo mie hakuna binadamu asiyependa kusifiwa, si vizuri kupaisha mambo...subiri au kaa kimya wajumbe wakupe kiki wenyewe...hawa wajombi wanapaza mambo ukichunguza sana wanataka kiki....amenunua ka spacio, basi wewe na Escudo anataka Muwe sawa. Why usisubiri?? Imetutokea tunafanya mabiashara kusave kahela kako basi yeye anapiga Kazi kampuni X basi maneno Mingi Utadhani anafanya BOT.

Watu wale isomile wanaonewaga bure nchi hii inaviumbe wanakasoro nyingi nina imani tutaendelea kuchukuliana kawa tu. Si poa sana kujikweeeeza hadi kero. Aliyeanzisha Dharau hii lazima ni mtu wa huko

Ukiona nimekukera wewe kosoa tu, Kadregree Kamoja kasikutie kiburi Kigoma hoyeee
Sawa Bwn Kabyemela Rwezaula
 
Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
336
500
Kuna mmoja niliingia nae kwenye mvutano mkubwa huku akijimwagia sifa kibao kaelimu ka certificate nilivyosikia ni muha hata sikuangaika nae tena.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom