Kadiri uncle anavyobana zaidi ndio akili zetu zinavyochanganya zaidi

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
c9811feb8818360fa8df1281efb5f273.jpg

We unasubiria viwanda ndipo ajira itokezee wenzako tunachekecha akili na sasa ni kazi tuu.

We unafikiri uyu innovator kasoma masomo gani?
Na je mheshimiwa akizidi kubana kwa muda zaidi watu si tutatengeneza ndege zetu binafsi tumpambanie angani.

Chezea tizi wewe.
 
Matumizi ya akili siku zote huleta matokeo makubwa sana (-ve or +ve)
Tatizo letu waTz, matumizi ya akili positively ni madogo mno ( less than 1% I guess) na ndio maana hata maendeleo yako nyuma irrespective of rich resources in place.
Tukubali kubadilika tu na kuongeza kuzitumia akili zetu vyema, hakika tutaacha kulalama na kuanza ona fursa lukuki zilizopo nchini mwetu
 
Ukizaliwa maskini sio kosa lako, lakini ukifa maskini ni kosa lako.-- Bill gate
 
c9811feb8818360fa8df1281efb5f273.jpg

We unasubiria viwanda ndipo ajira itokezee wenzako tunachekecha akili na sasa ni kazi tuu.

We unafikiri uyu innovator kasoma masomo gani?
Na je mheshimiwa akizidi kubana kwa muda zaidi watu si tutatengeneza ndege zetu binafsi tumpambanie angani.

Chezea tizi wewe.
Heko kwake, siyo kutwa nzima kuumiza mifugo
 
Hakuna kitu kizuri kama kuwa mbunifu kuweza kukabiliana na changamoto zinazokuzunguka, siyo mtu ana master ya agriculture ya kwenye madaftari tu, innovation, creativity zeo
 
Sijaona la kustaajabisha..
La kustaajabisha ni kulalamika hali ngumu wakati akili unazo!

Usisubiri ufanyiwe kitu na nchi yako fanya wewe hicho kitu kwa nchi yako na uende mbali zaidi hicho kitu kitambulike Africa na hatimaye dunia nzima.
 
Dah.... Tatizo kubwa bongo tulizoea kuishi "kimtandao wa kipiramidi"...... Top akipiga akamwaga mgao kushuka chini kwa wapiga perete.... na hii ilisababisha tuwe na wavuja jasho wachache na wapiga domo wengi.... HAIWEZEKANI....
Mkuu naomba ruhusa ya kutumia hayo maneno kama "motivation" yangu!
 
c9811feb8818360fa8df1281efb5f273.jpg

We unasubiria viwanda ndipo ajira itokezee wenzako tunachekecha akili na sasa ni kazi tuu.

We unafikiri uyu innovator kasoma masomo gani?
Na je mheshimiwa akizidi kubana kwa muda zaidi watu si tutatengeneza ndege zetu binafsi tumpambanie angani.

Chezea tizi wewe.
Maji mtatoa wapi sasa kama mvua hazinyeshi, endeleeni kuchekecha akili hapo bado sana
 
yaaaaaaasi changamoto ni kuzitatua.
azidi kubana tuzichangamshe bongo zetu.
 
Maji mtatoa wapi sasa kama mvua hazinyeshi, endeleeni kuchekecha akili hapo bado sana

Watu wanalima jangwani sehemu ambayo mvua ni nadra kunyesha, sembuse hapo..
Tutumie akili zetu tu, kila kitu kitakwenda sawa...
 
Dah, wakubwa mnatisha kwa ubunifu wenu, nadhani mnapaswa kuigwa kuliko kutegemea mbinu za zamani tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom