zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,688
Umefanya utafiti kama hakunaga mikutano ya kisiasa??? Unakijua transhumanist party?? Unajua kilifanya mikutano mingapi na midahalo mingapi hadi kikawa cha 5 kwa ukubwa marekani baada ya ya uchaguzi mkuu wa 2016?? Tuanze na hao kwanza ........Umelielewa swali? mikutano gani ya mwaka mzima huko Brazil wanaifanya. Nazungumzia mikutano ya kisiasa sizungumzii maandamano. Sijaona mikutano wa Hadhara wa Labour conservative Democratic republican zaidi ya mikutano yao ya kawaida kama mimi muongo nipatie ratiba ya mikutano ya hivyo vyama. Hata Africa kusini hawafanyi siasa kama za bongo ndiyo maana siasa hizi zipo kwenye ubongo wenu mpaka mnadhani maandamano ya kushinikiza kitu mnadhani ni siasa. Hillary humuoni tena mitaani kama Lowasa na Seif zaidi ya mikutano tofauti na siasa. Mit Romney tulimsahau tayari na Hillary karibu tulimsahau lakini Lowasa bado yupo mitaani unadhani aliibiwa pesa. Mccain kama Al gore aligombea mwaka moja na seif akipigwa chini na bush sasa anajishulisha na mazingira Seif bado tunaye. Ndiyo siasa za kiafrika.
TranshumanistParty