Kadinali Pengo ni mkweli au naye ni MSANII TU!?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Cardinal Pengo in war-cry against corrupt politicians: `I would rather die than allow this country to be completely destroyed by corruption...`

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam



The head of the Roman Catholic Church in Tanzania, Cardinal Polycarp Pengo, yesterday stated that he was ready to sacrifice his own life in the fight against high-level political corruption in government and other institutions of power, rather than allow the country to be destroyed by sleaze.

Cardinal Pengo, one of the most prominent religious leaders in the country, said he remains deeply concerned over the continued use of legislated powers by various government officials for illegitimate private gain.

''I would rather die than allow this country to be completely destroyed (by corruption),'' he told a large Sunday mass congregation at Saint Joseph's cathedral in Dar es Salaam.

He pledged that the Catholic church in Tanzania will continue to oppose corrupt politicians and top civil servants who insist on using public office for their own personal financial benefits.

Emphasizing that the church will speak out against any corrupt public leader regardless of his or her religious affiliation, Pengo said:

''As things stand, there are corrupt leaders from all religions and faiths. We cannot tolerate them - we will continue to push for clean and ethical leaders who are not motivated by greed or the amassing of vast personal wealth.''

He also vehemently dismissed what he described as spreading rumours that the Roman Catholic Church is grooming its own presidential candidate to challenge incumbent President Jakaya Kikwete in the upcoming 2010 general election.

''To say that Pengo wants to remove President Kikwete from power and replace him with another leader from within the Roman Catholic faith...is just plain lies,'' he said.

The cardinal asserted that while the Catholic church has no intention of meddling in the affairs of politicians, it is adamant on the issue of corrupt public leaders being unwanted in society.

He said the church is ready to support any political candidate from any religion, provided that such a candidate is morally upright, demonstrates true love for his/her country, and is suitably passionate about serving the people.

''On the other hand, the church will not sit back and just allow for corrupt politicians from any religion to be elected to public office,'' added Pengo.

Only a few weeks ago, members of various local civil society organisations issued a joint statement declaring that grand corruption has reached dangerous levels in Tanzania, leading to the ''capture of the state.''

''Stories of syndicated grand corruption in the country are horrifying, and force us to draw one solid conclusion - that the Tanzania state has been hijacked,'' the CSOs coalition asserted, noting that a few powerful persons in the private sector were now influencing major government decisions, policies, and regulations.

'Capture of the state' is recognised at international scholarly level as a most destructive and intractable corruption problem, particularly in transition economies with incomplete or distorted processes of democratic consolidation and insecure property rights.


In their statement, the CSOs cited various scandals that highlight ''the mushrooming of grand corruption and state hijacking operations in Tanzania,'' including the Buzwagi and other mining sector projects, plus the Richmond and IPTL power generation sagas.

Others they mentioned were the National Bank of Commerce (NBC), Kiwira Coal Mine, Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL), Kilimanjaro International Airport (KIA), Tanzania International Container Terminal Services (TICTS), and Tanzania Railways Corporation (TRC) privatization contracts.

Also the Bank of Tanzania's Twin Towers construction project, external payment arrears (EPA) account looting with specific reference to Kagoda Agricultural Limited, Commodity Import Support (CIS) fund, and Debt Conversion Programme (DCP).

Further scandals catalogued by the CSOs included the military radar deal, presidential jet purchase, TANGOLD, Meremeta, and Deep Green.

The CSOs demanded ''indiscriminate and immediate'' government action to prosecute all people suspected of involvement in these and other grand corruption cases.
 
Kaongea ukweli na mungu amsaidie kwa hilo.

Mtanzania, kwa maoni yangu Kikwete ni pingamizi kubwa sana katika mapambano dhidi ya mafisadi. Ukiaangalia katika miaka miine iliyopita hakuna chochote alichokifanya ili kuonyeshasha kwamba yuko serious katika mapambano dhidi ya mafisadi ambau wanaiangamiza nchi yetu.

Labda hili linatokana na sababu kwamba wahusika wengi wa ufisadi ni wale ambao walimsaidia sana katika kampeni za 2005 ili kuhakikisha kwamba anaingia Ikulu.

Kwa hiyo kuna haya ya viongozi wote wa dinina Watanzania wote kwa ujumla kusimama kidete kuhahakisha 2010 na tunapata Rais mpya bila kujali anatoka dini gani, Kikwete kazi imemshinda na kuendelea kuwepo kwake madarakani baada ya 2010 ni hasara kubwa kwa Taifa letu na vizazi vyetu vijavyo.
 
kwa leo nntakuliana na Cardinal Pengo kwenye hoja yake kwa sababu kwa upande wangu ingawa imetoka kanisani ndio na waumini wa dini hiyo ndio walio-uzulia. message aikuwa kuhusu ni dani gani upo, hila ni matatizo gani yaliyopo nnchini. amejaribu na amesisitiza kuwa azungumzi dini hapo anazungumza matatizo ya jumla yanayowakabili dini zote kutokana na ubadhilifu unaoendelea nchini kwa hasara ya raia wote. so long as the church keep insisting that it involves all tanzanians in their sermons and not just the catholic faith yes then it make sense. however im still sceptic about the motive behind it why now na isitoshe aji na nini wanachotaka kibadilike in terms of uongozi uliopo kutatua tatizo la ufisadi inaeleweka ni rahisi mtu yeyote kuingiwa na tamaa iwapo ana miliki mamilion. kwa hivyo tatizo si mtu mmoja tu. tatizo ni kwamba amna vyombo ambavyo vina-power to make these people be accounted for their behaviours and these is what he doesnt explain or anything in his view what should be done to sort the problems he has mentioned.
ndio maana nina wasiwasi isiwe ikawa wameshamtayarisha challenger wao ambae yupo tayari CCM ikawa rahisi kumpatia kura kupitia kanisa, kwa sababu CCM yenyewe nayo imegawanyika watu wameshaanza na kuwe na mgombea binafsi wa urais na hii ndio ikawa kampeni yao imeshaanza, na kipaji cha ku-convice mapadri wanacho mi nadhani waachane na siasa regardless of their intentions good or bad because its hard to know the real motive behind closed doors, especially the timimg of all this.

Mungu Ibariki Tanznania
 
kama viongozi wa dini zetu wako na waumini wao huu ndo wakati pekee wa kuachana na kikwete, lakini wataweza? kwa kawaida watanzania ni watu wa kuogopa na kujikomba
 
Anacho ongea ni kweli lakini hana ubavu wa kupambana na mafisadi ataishia kuhubili tu kama ilvyo kawaida ya watumishi wa mungu kuwahubilia waumini kuacha kutenda dhambi bila ya mafanikio toka yesu alipo fufuka mpaka leo hii.
 
Pengo and my Catholic Church if you want my support and trust please rudisha kadi ya CCM .Tunakumbuka mwaka 1995 Pengo na Kanisa you sided with CCM leo moto unawaka unaanza kulia ? Huyu si alitumwa na Mungu kuwapa wokovu na Chama chake ? Mtaacha kwenda kula na kunywa mkiitwa mlango wa nyuma ? Sadaka zao nono na nguvu yao ya kujenga makanisa je ?Mtakubali mifuko na mabati ya kujengea majumba ya ibada nanyi mkamwaga masifa ?
 
Pengo and my Catholic Church if you want my support and trust please rudisha kadi ya CCM .Tunakumbuka mwaka 1995 Pengo na Kanisa you sided with CCM leo moto unawaka unaanza kulia ? Huyu si alitumwa na Mungu kuwapa wokovu na Chama chake ? Mtaacha kwenda kula na kunywa mkiitwa mlango wa nyuma ? Sadaka zao nono na nguvu yao ya kujenga makanisa je ?Mtakubali mifuko na mabati ya kujengea majumba ya ibada nanyi mkamwaga masifa ?

Lunyungu, kwa maana nyingine huyu Pengo ni mnafiki tu anafanya USANII lakini hana nia ya kweli ya kuhakikisha Tanzania inapata viongozi bora watakaoweka mbele maslahi ya Watanzania badala ya yale ya chama cha mafisadi na mafisadi ndani ya chama na serikali.
 
Anaweza kuwa msanii kama hataweza kusimamia ukweli na maneno yake, Leo wakina Kakobe wako wapi?? Wakina Kulola wako wapi?? Lutherani nao wako wapi?? Baada ya miaka kama 4 hivi kupita ndio wanaona kuwa waliuziwa mbuzi kwenye gunia na kupiga kelele kuwa CCM ni mafisadi, lakini Sisi kama watanzania tunajua kuwa makanisa ndio yalifanya upambe sana kwa Jk kushinda uraisi mpaka MRema aliwahi kusema kuwa Mbona Huyu hata Ubarikio hajapata mnasema Mtu wa Mungu, Ufisadi, Uporaji wa Rasilimali za Nchi hii ni WITI, Mtu na Chaguo la Mungu hawezi kuwa Mwanasiasa hasa CCM, Hivyo Pengo ajionyeshe vilivyo kama kweli yeye ni Shuhuda wa Kweli na maneno yake,
 
Ujue Cardinal Pengo ni msanii mzuri sana mpaka yeye mwenye kaji-convince kabisa anasimamia haki.

Talk about usanii!
 
Mtanzania, kwa maoni yangu Kikwete ni pingamizi kubwa sana katika mapambano dhidi ya mafisadi. Ukiaangalia katika miaka miine iliyopita hakuna chochote alichokifanya ili kuonyeshasha kwamba yuko serious katika mapambano dhidi ya mafisadi ambau wanaiangamiza nchi yetu.

Labda hili linatokana na sababu kwamba wahusika wengi wa ufisadi ni wale ambao walimsaidia sana katika kampeni za 2005 ili kuhakikisha kwamba anaingia Ikulu.

Kwa hiyo kuna haya ya viongozi wote wa dinina Watanzania wote kwa ujumla kusimama kidete kuhahakisha 2010 na tunapata Rais mpya bila kujali anatoka dini gani, Kikwete kazi imemshinda na kuendelea kuwepo kwake madarakani baada ya 2010 ni hasara kubwa kwa Taifa letu na vizazi vyetu vijavyo.
Ni ukweli mtupu,sijiu kwa nini habadiliki?
 
Lunyungu, kwa maana nyingine huyu Pengo ni mnafiki tu anafanya USANII lakini hana nia ya kweli ya kuhakikisha Tanzania inapata viongozi bora watakaoweka mbele maslahi ya Watanzania badala ya yale ya chama cha mafisadi na mafisadi ndani ya chama na serikali.

Ok, lets say Pengo hana nia blah blah blah na ni msanii.

Now lets talk sense and straight..ulitaka afanye kitu gani ili wewe roho yako iridhike kuwa si msanii? Je alikuahidi nini ambacho hajakitekeleza? Ni wajibu upi ambao ninyi msio waumini mlimpa mpaka mumdai kuwa hajafanya a,b,c na hivyo kustahili kuitwa msanii?

Naomba majibu mujarabu.
 
Last edited:
He needs to walk the talk kama mwenzake wa Zimbabwe alivyofanya. Kamkemea nani kwa jina katika hii martyrdom anayoitafuta? Na wengine wanaotuhumiwa si kondoo wake?

Amandla............
 
anatuzuga, nguvu aliyonayo ni kubwa sana, akiwapa modality mapadri, CCM inang'oka..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom