Kulikuwa na taarifa kuwa kuna ajent wa kampuni moja ya simu alichukua vitambulisho vya wapiga kura takribani mia nne(400) ili kuzitoa kopi waweze kusajili namba zao, ila akatokomea nazo.tukio hilililitokea pande ya kanda ya ziwa huko shinyanga..hivi ni hatua gani zimechukuliwa na serikarii na huyu agent na kampuni iliyompa kazi ya kusajili namba.sheria inasemaje hapo wale wananchi hawezi kushitaki kampuni hii au?