Kadi za mabasi ya mwendokasi zazuiwa Airport mpaka zilipiwe kodi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,367
24,070
Lile zoezi lakutumiankadi kwa watu wazima kuanzia Augast limeshindikana baada ya lundo lashehena za kadi za mwendokasi kuzuiliwa airport mpaka zilipiwe kodi.Juhudi zakumpata mkurugenzi zilifanikiwa nakusema ni kweli wameshindwa kuanza na zoezi hill Augast ndio maana mnaona tunaendelea na tiketi za kielectronic.

Alipoulizwa kuhusu kodi alisema kadihizo ziliagizwa kwaniaba ya serikali na walijua aziitaji kulipiwa kodi. Hii aibu mnatukata nauli alafu mnataka kuingiza kadi bila kodi mbona amtoi hizokadi bure.

Mtaelewa tu magufuli aliletewa na MUNGU

HK2
 
Eti "kadi hizo ziliagizwa kwa niaba ya Serikali na walijua aziitaji kulipiwa kodi" hawana hata aibu. Kadi zao, wataziuza kwa wananchi, bado wanajidai wameagiza kwa niaba ya serikali! Je walishauriana na serikali kuhusiana na uagizaji huo?
 
Kadi hazipatikani kabisa iasee. Nimetoka Morocco wanadai hakuna kadi vituo vyote.
 
Back
Top Bottom