Kadi za CHADEMA zinatakiwa kwa udi na Uvumba

bfsam2000

Member
Nov 2, 2010
20
7
nimetoka Urambo-Tabora this morning,majority wanalalamika wanataka kadi za uanachama lakini hazipatikani.nimefuatilia ofisi ya wilaya wanasema makao makuu hawajatuma toka kabla ya uchaguzi

Lakini kwa taarifa:kuna madiwani wa3 wa chadema ikiwa ni pamoja na kata ya Urambo mjini
 
Kweli ,inabidi CHADEMA wajiimarishe huko Urambo ili Sitta akiondoka CHADEMA wachukue jimbo
 
Jamani Chadema tuutumia huumuda vizuri, tunahitaji kuwa na wanachama waaminifu siyo chini ya 6m kama tunataka kushinda 2015.
Shime viongozi anzeni kazi ya kuimalisha chama. "Nsozi wa mbwa ukang'wiwagwa utali nsebu" ="Mchuzi wa mbwa hunywewa ukiwa wa moto". Wakati ndiyo huu.
 
Mpigie mnyika kwenye hii namba 0784-22 22 22 ili akupe detail jinsi ya kupata kadi.
 
Jamani Chadema tuutumia huumuda vizuri, tunahitaji kuwa na wanachama waaminifu siyo chini ya 6m kama tunataka kushinda 2015.
Shime viongozi anzeni kazi ya kuimalisha chama. "Nsozi wa mbwa ukang'wiwagwa utali nsebu" ="Mchuzi wa mbwa hunywewa ukiwa wa moto". Wakati ndiyo huu.

Ushindi utakuja kabla ya 2015
 
sitta atahamia chadema...so good for them to take chadema
 
Jamaa CHADEMA changamkieni hizi ndiyo fursa yenyewe,kwa sasa CHADEMA kinakubalika balaa!!
 
Uongozi wa CHADEMA, sikilizeni kilio cha Wa-Tanzania haraka.

Chapisheni Kadi na kuzipeleza mashinani haraka sana. Uongozi wa juu uanze na zoezi la kufungua matawi zaidi kuingiza wanachama zaidi na kutoa semina elekezi nzi nzina.

Itikieni wito huo kutoka Urambo. Huo ni mfano mmoja tu.
 
Back
Top Bottom