poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
kila nikijaribu kununua kitu Online hususani mtandao
wa Aliexpress majibu ninayopata ni haya
"For security reasons this process can not be continued.
ISC_RS_5100102051"
tatizo nini na kadi ina pesa na imeshafanya manunuzi kadhaa
kwa siku za nyuma.