Kadi nyekundu: Mafisadi 0-2 wapambanaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kadi nyekundu: Mafisadi 0-2 wapambanaji!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Jul 29, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mpaka sasa idadi ya kadi nyekundu kwa timu mbili za ccm ni:

  mafisadi 0-2 wapambanaji

  waliopewa kadi nyekundu ni:
  1. james lembeli: (aliingizwa chaka na kocha wake kwani kocha alimwita nje ya uwanja bila kuwasiliana na refa; ambaye bila ajizi akamzawadia kadi nyekundu)
  2. fred mpendazoe: huyu alimzozea mbovu kocha wake baada ya kocha kuonesha waziwazi kumchukia kwa sababu ya kuwa mkweli kwa timu yake. alijisahau akaanza kumfokea kocha aliyepo nje na baadaye alijikuta yuko nje ya ulingo; refa akatimiza wajibu wake.
  nasikia na yule mchezaji maarufu wa tabora wameanza kumtengenezea mazingira ya kumpiga kadi ya rangi ile ile. hebu tusubiri na tuone.
   
Loading...