Kadhi couurt yaanza kuwasha moto kwenye katiba mpya ya kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kadhi couurt yaanza kuwasha moto kwenye katiba mpya ya kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mwenda_Pole, Nov 3, 2009.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tanzania tunajifunza nini kuhusu hili,
  Nchini Kenya moto umeanza kuwaka juu ya aidha mahakama ya Kadhi( Kadhi court) iwepo kwenye katiba mpya ya kenya ama la, ni nafasi nzuri kwetu wa TZ kujifunza kutoka kwa hawa jamaa kwani hatuna tofauti, sababu kuu za wanazotoa ndugu zetu waislam za kutaka isiwepo na wale wanaopinga isiwepo kwenye katiba ni zile zile tu kama hapa kwetu.
  check hapa

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=5udbx7eLS1s[/ame]
   
Loading...