Kada ya Ufamasia hapa bongo..

Ferrenga

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
942
1,658
Wakuu mlioko kwenye system,mnaonaje hali ya sasa kwa ajira na fursa katika kada hii,bado zipo open?,au watu ambao wanasoma saivi waanze kujiandaa kisaikolojia kuwa mambo sio rahisi?.
 
dogo ajira ni wewe mwenyewe utakavyojishep.,kila siku huwa nawaambia ajira sasa hivi ni ngumu. .....
 
zipo, ukwasi alionao Bashite unausemaje, si mwajiriwa?
Kuna watu wameajiriwa na wana pesa kuliko huyo Bashite. Usiwaze tu wanachokipata waza na ugumu wanaopitia. Bashite hana uhuru wa maisha, anatembea na ulinzi mkali....hiyo ni sign za mtu asiye na amani.
 
Back
Top Bottom