RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,475
Kwahio unashauri wahandisi waombe katika wilaya mpya mpya ili wapate hizo furusa?.Ni kweli mkuu ila ukifanya kazi serikalini utaelewa mkuu. Wewe ukiwa DED, kuna miradi inahitaji usimamizi/ufatiliaji na wilaya yako na ya jirani haina engineer hata mmoja na serikali haiajiri unafanyaje? Unasimamisha shughuli zote hadi utakapopata engineer?
Obvious utatumia human resources zilizopo hata kusimamia miradi midogo na ya wastani ya ujenzi wa shule, vituo vya afya n.k
Serikali inaubia nakampuni/viwanda vingi kwa nini isiwaombee katika hizo taasis au viwanda huko, ili wahandisi wakafanye kazi wanazozipenda?.