Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

Ni kweli mkuu ila ukifanya kazi serikalini utaelewa mkuu. Wewe ukiwa DED, kuna miradi inahitaji usimamizi/ufatiliaji na wilaya yako na ya jirani haina engineer hata mmoja na serikali haiajiri unafanyaje? Unasimamisha shughuli zote hadi utakapopata engineer?

Obvious utatumia human resources zilizopo hata kusimamia miradi midogo na ya wastani ya ujenzi wa shule, vituo vya afya n.k
Kwahio unashauri wahandisi waombe katika wilaya mpya mpya ili wapate hizo furusa?.

Serikali inaubia nakampuni/viwanda vingi kwa nini isiwaombee katika hizo taasis au viwanda huko, ili wahandisi wakafanye kazi wanazozipenda?.
 
Hapa kila mtu asikilize moyo wake unataka nini,usikurupuke kisa mtu kasema alienda akabadilisha saivi yuko kitengo, kumbukeni bahati hazifanani, kama imetokea kwa mwenzio sio lazima na kwako,matarajio yanaumiza wengi mtakuja kufa na magonjwa ya tumbo,fanya maamuzi yako binafsi kwa ajili ya maisha yako ya baadae

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Hakika unaweza ingia kwenye ualimu ukafia huko, huku ulihangaika na uhandisi umeme.
 
Hayo mambo yapo usiwe mbishi mdogo wangu, inaootokea hali Kama hiyo, huyo mwalim wa physics anakuwepo ofisini Kama kaimu tu ila wanaongea na wilaya ya Karibu kupata engeneer atakayekua anawasaidia kwa part time anapohitajika. Hali hii ilitokea sana baada ya uhakiki wa vyeti. Kama una engeneering omba mdogo wangu utanikumbuka.
Duuu mwalimu wa physics afanye kazi kama Engineer.Kuweni serious basi na huyo DED wenu.
Engineering ni zaidi ya hiyo physics.
 
Hayo mambo yapo usiwe mbishi mdogo wangu, inaootokea hali Kama hiyo, huyo mwalim wa physics anakuwepo ofisini Kama kaimu tu ila wanaongea na wilaya ya Karibu kupata engeneer atakayekua anawasaidia kwa part time anapohitajika. Hali hii ilitokea sana baada ya uhakiki wa vyeti. Kama una engeneering omba mdogo wangu utanikumbuka.
Ngumu kumeza mkuu, lkn nashauri mtu kama hana kazi heri aombe. L
 
Hii IPO sana, kuna baadhi ya wilaya zinachukua walimu wa hesabu kuwa wahasibu
Hayo mambo yapo usiwe mbishi mdogo wangu, inaootokea hali Kama hiyo, huyo mwalim wa physics anakuwepo ofisini Kama kaimu tu ila wanaongea na wilaya ya Karibu kupata engeneer atakayekua anawasaidia kwa part time anapohitajika. Hali hii ilitokea sana baada ya uhakiki wa vyeti. Kama una engeneering omba mdogo wangu utanikumbuka.
 
Hivi mwalimu mwenye Diploma ya Arts na Science wanatofautiana msharaha hata kama wameajiliwa siku moja
 
Back
Top Bottom