Kada wa nccr-mageuzi;ukawa ni upepo tu utapita

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Ndugu kisandu ambae ni kada wa nccr-mageuzi anasema ukawa ni upepo utapita tu,vijana wanapelekwa pelekwa tu na upepo
 
Ndugu kisandu ambae ni kada wa nccr-mageuzi anasema ukawa ni upepo utapita tu,vijana wanapelekwa pelekwa tu na upepo

Huyu si ndiye aliyesema kwamba 2015 LAZIMA agombee URAIS wa JMT kupitia NCCR- Mageuzi! Sasa kama anawaponda UKAWA ambapo chama chake ni mshiriki mmojawapo wa UKAWA, je atatimiza adhima yake hiyo kwa njia gani? On a serious note hivi hawa Star TV huwa wanakosa watu wa kufanya nao mahojiano? Kweli Watanzania hatuko MAKINI kwa kitu chochote kile.
 
Riziki Magembe linda heshima yako hapa jamvini,huyo jamaa yuko "illusioned"sana ndio maana anatapatapa !!
 
Last edited by a moderator:
mwache ajidanganye tu,kama ni upepo unapita inatakiwa aeleze unaishi lini na utaishia wapi,hofu yangu unaweza kupita hadi 2016
 
Jamaa anatapata tapa sana ni kambi ya walio kimbilia act,anajichanganya mara yeye c mwanasiasa
 
Back
Top Bottom