Kada wa chama cha siasa ni nani?

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
Wakuu kila mmoja na heshma yake kadri anavyostahili.

Naomba kusaidiwa maana ya neno "KADA WA CHAMA"

Napata ugumu WA kuelewa tofauti kati ya Mwana chama ,mfuasi na KADA.

Karibuni
 
Back
Top Bottom