Greda
Member
- Apr 20, 2012
- 95
- 9
Aliyekuwa makamu mkuu wa chuo cha saut na kada wa CHADEMA Padri Kitima ,hii leo anaagwa rasmi kwa misa takatifu,na kumkaribisha mrithi wake padri Mgeni,ambae si rahisi kutabiri endapo atazika kabisa mambo ya siasa na itikadi katika chuo hicho au ataendeleza wembe ule ule .
Wakati wa utumishi wake Kitima amekuwa akiikosoa serikali katika udhaifu wake hasa katika kutatua matatizo ya Watanzania wengi.
Kitima pia atakumbukwa kwa mahubiri yake ambayo kila mara yaliikosoa serikali na kuisahau biblia,na jambo hili liliwafanya vijana wengi chuoni hapa hasa wale mashabiki wa CHADEMA kumshangilia kila mara alipoikosoa serikali.
Je!kuondoka kwake ndio mwisho wa CDM chuoni hapo?na je mrithi wake nae atakuwa ktk mlengo huohuo wa kichadema?hatujui,ila muda utasema.