KADA WA CHADEMA ARUSHA AJIUNGA NA CCM: Katibu wa CHAMA AMANI GOLUGWA Hamtambui Kada Huyo

MTEI, MTEI, MTEI , MTEI. Huyu mzee anafikiri chama hiki bado ni chake, kila siku matamko ya ukabila tu na udini. Huyu mzee anakimaliza hiki chama jamani , kwetu sisi tunaoishi huku kaskazini minong'ono ni mingi sana juu ya huyu mzee.
Ulishawahi kusikia chama chochote kina mwenyekiti Mtendaji?
 
Hizo picha hazimwonyeshi vema ila kivuli chake tu gizani. lakini amesema mwenyewe alitolewa mbali na ccm na ccm hiyo ilimtuma kazi maalum akaifanye CDM na keshamaliza anarudi kwa mafisadi wenzake aliowazoea, maana wanalindana sana kule. Utansikia akirudi tena CDM kuharibu yale yaliyonshinda mwanzo. CCM bwana, bhaaaa! inawanasa sana wenye njaa kali kama nke malaya.
 
Hilo ni gamba kwa kiwango kikubwa,lilitegemea huku kuna vyeo vya kupeana ubwabwa,nenda huko kwa wapenda ubwabwa,kanga,vitenge,kofia etc.
 
Hawa watu kila siku wanapandikiza mbegu za chuki. Mara ukabila mara udini. Ifike hatua serikali itamke kuwa hakuna kuzungumzia mambo hayo nje ya utaratibu wake, yaani mambo ya dini yatamkwe katika mazingira ya kiimani na mambo ya ukabila yatamkwe katika mazingira yake.
 
Mbona mavazi yake yanaonyesha alikuwa ''gwanda'' au haya ni ya CCK(kama kipo hai) ama alivaa kupiga photo.Huyo Katibu wa CDM mbona anaonyesha kumfahamu sana kwamba hakuchukua kadi, alimtambuaje wakati hakuwa member?????.Hapa za Mbayuwayu changanya na zako.

Kumekuwa na vijitabia vya hovyo vya CDM, mtu akiwa kwao ''jembe'', akitoka hupachikwa majina ya hovyo sana.Inamaana kigezo cha kukubalika CDM ni kuwa Mwanachama milele na usitoke?.Chama kama kinavuna wanachama kutoka vyama vingine eg. CUF,TLP,CCM,ADC ama NCCR kikubali pia kupoteza wanachama wake.

Magamba nao wanakatabia haka ka ''oil chafu'' ila CDM wamezidi.Kama ndoa, watu wanaoana na kuzaa watoto kisha kuachana sembuse vyama.

Jitahidi kusoma na kuelewa, umeambiwa alitaka kujiunga na chadema lakini alipoitwa kuchukua kadi hakutokezea, hii ni dalili ya wazi alikuwa anabeep au mguu ndani mguu nje! pengine aliambiwa aje na kadi yake ya ccm ili waidestroy then apewe kadi ya chadema akaamua kula kona maana dhamira ilikuwa inamsuta! kwa hiyo ni kweli huyu jamaa hakuwa mwanachama wa chadema, hana kadi wala utambulisho wowote na ndo maana kashindwa kuthibitisha uanachama wake kilichobakia ni porojo na njaa zake! tutashuhudia 'political prostitutes' wengi sana hadi hapo ifikapo 2015!!!
 
Hii taarifa ni ya kabla ya uchaguzi wa Daraja mbili.Nadhani salaam amezipata kwa matokeo yalivyokuwa baada ya kura.
 
Hapa sasa mambo magumu,
Kila siku tuna changanywa sana wananchi, Utasikia CCM-MAFISADI/WALA RUSHWA......sasa hivi tena mnakuja na kutuambia tena CHADEMA-UKABILA/UDINI...
Sasa sisi tusio wadini, tusio wakabila , tusio wafisadi na tusio penda rushwa mtatuweka wapi......

Tatizo la CDM SLAA na MBOWE na si vinginevyo. Wapishe vijana waliokwisha wapika waendeleze chama.[/QUOTE]
Hivi Mkama, Kingunge, Malecela, etc na Dr. Slaa nani mzee zaidi? Je, Mbowe na JK nani mzee? Naona magamba yamekufunika hadi machoni umeshindwa hata kuona. M/Kiti wenu alishawaambia kama umeshindwa kufikiri azima akili za wengine uzitumie kufikiri lakini usisahau kuchanganya na zako. Kumbe hukumuelewa?
 
Hapa sasa mambo magumu,
Kila siku tuna changanywa sana wananchi, Utasikia CCM-MAFISADI/WALA RUSHWA......sasa hivi tena mnakuja na kutuambia tena CHADEMA-UKABILA/UDINI...
Sasa sisi tusio wadini, tusio wakabila , tusio wafisadi na tusio penda rushwa mtatuweka wapi......

Tatizo la CDM SLAA na MBOWE na si vinginevyo. Wapishe vijana waliokwisha wapika waendeleze chama.[/QUOTE]

sasa kama Slaa na Mbowe ni tatizo iweje wawaachie Vijana waliowapika waendeleze Chama ? kwa upande moja unasema wanamatatizo wa upande mwingine unawasifu kuwa wamepika vijana in short hueleweki ?
 
Hawa ndio mapandikizi wa magamba ambao wanatumiwa kuleta picha isiyo halisi ya CDM. Ona tukio lenyewe lilivyopangwa kwa wakati: eti akabidhiwe kadi ya Magamba na JK atakapohutubia Arusha. Wamekwisha na waaache waendelee kuweweseka. CDM mwendo mdundo wataishia kusema mengi. Wameunywa wa chuya.
 
Lazima chadema ifanye hatua za haraka kubadilisha mwenendo wa viongozi wake wa juu hasa mbowe, slaa na zitto kabwe. Hawa wote kila mmoja wao anaongelewa tofauti na raia wa kawaida, Kwa watu makini wasikilize hotuba ya mzee nyimbo aliyoitoa akijiondoa chadema ni maneno mazito sana kuachwa hivi hivi, nachokiona imefika mahali kuna watu ndani ya uongozi wa juu wa chadema washajiona wao ni rais na mbaya zaidi wake zao wamejipa u first lady tayari, hii ni hatari sana.

Hizo ni Propaganda huyo Mwekti mtendaji anayedai kuhama chadema hata hatumjuia hapa arusha, aondoke zake tu! Huyo Nyimbo nae hana nyimbo ameshajizeekea analinda maslahi yake CCM akafie mbele!
 
Kazi kweli kweli,kweli Bongo kuna mizoga kama sio wagonjwa wa akili yaani huyu kajiunga juzi 30/October/2012,Post 13,Rep power 303,Likes received 2,likes given 1 sasa moja kwa moja napata picha huyu ndo kamaliza shle ya kata muda si mrefu.Kajiandae tena mkuu ili uje na issue yenye kueleweka hapo uliandika kwa kiswahili je kama ingekuwa Kiingereza sijui ingekuwaje.

Mkuu umempromote amejiunga jana 30/10/2012 siyo juzi.
 
By the way, ndani ya CHADEMA hakuna kitu kinaitwa 'Mwenyekiti Mtendaji'!!

Dr Mkumbo jivue gwanda, kila kukicha dokta wanachama wenu wenye nguvu za hoja wanaondoka, kuondoka kwa nyimbo ni pigo kubwa kwa cdm , ww mwenyewe unajua jinsi nyimbo alivyokuwa nguzo ya cdm kwa ukanda ule, Dr fundisha siasa huziwezi
 
Hizo ni Propaganda huyo Mwekti mtendaji anayedai kuhama chadema hata hatumjuia hapa arusha, aondoke zake tu! Huyo Nyimbo nae hana nyimbo ameshajizeekea analinda maslahi yake CCM akafie mbele!
Mtalia sana safari hii na bado, kila siku mnalia lia tu kwa bakora za chuma mnazo pigwa sasa, cdm kwishney !
 
Kwa upande mmoja nashukuru jamaa kaondoka inawezekana alikuwa pandikizi.

Kwa upande wa pili nazani cdm inawezekana wamepotoka mahali wajichunguze maana CCM hawapendi kuona CDM inaendelea!

CDM wawe makini kwa maana nguvu za f..di el ni kubwa hivyo anaweza kusambaratrisha CDM.CDM wajaribu mbinu nyinge na kutafuta wanachama zaidi kwa kutumia wazee.
 
Back
Top Bottom