Kada mtiifu azinduka, Ukweli usemwe. Nikubana tu...

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
12,101
14,478
Kada maalufu nimekuelewa vizuri sana,
Uzalendo nikusema ukweli kwa haki, bila upendeleo, bila kupepesa macho....maana mficha maradhi kifo humuumbuwa

Hongera sana Mh Mb Selukamba
 

Attachments

  • VID-20190606-WA0025.mp4
    11.3 MB
Kada maalufu nimekuelewa vizuri sana,
Uzalendo nikusema ukweli kwa haki, bila upendeleo, bila kupepesa macho....maana mficha maradhi kifo humuumbuwa

Hongera sana Mh Mb Selukamba
Kwa CCM hayo mawazo mazuri yanaingilia sikio la kushoto yanatokea sikio la kulia
 
Sasa walau CCM kuna:-

Nape
Selukamba
Bashe

Kwa mbali naona kamwanga kidoogo.
 
Huyo aliemtetea ndio atakuja kumponda kuwa anatumika kuhujumu chama na serikal!

Kuna ambao teyari kawaonya hadharani kwa kuisoa serikali Bungeni ila Serukamba anajisahaulisha!

Hata Mr. Slow slow nae juzi katishia kuwa wale wote wanaosema wasiyoyapenda 2020 majina yao yatakatwa.

Mchawi ni bwana yule na sio hao anawalaumu.

Ni bwana yule ambae pia alikataa ushiriki wa sekta binafsi kwenye issue ya koroshow ambayo sasa imekuwa ni mateso kwa wakulima.

Aliyoyasema hapo Serukamba ya kushirikisha sekta binafsi kwenye miradi mikubwa yamesemwa sana na wapinzani ila siku zote walikuwa wanabezwa ila kukua huku kwa kasi kwa deni la Taifa alikokuongelea ndio sasa kumeanza kuwashitua na kuona hatari ya serikali kutekeleza miradi yote kwa kutumia fedha zake na za kukopo.

Wapinzani huwa wanapuuzwa tu ila siku zote muda huwa upande wao.

Madhara ya huu ujamaa uchwara ni kuua uchumi wa nchi na muda si mrefu kila kitu kitasimama kama sio kutushinda.
 
Hata mimi pia nimewaza hivyo.Wameanza kujifanya eti wanafunguka kuiponda serikali ya chama chao!!!

Mzee kafunguka balaa
Hakuna mkakati mpya.....ni mpango wa mwakajuzi, wakau-pest mwaka jana, na huohuo ndio wa mwaka huu

Hakuna utaratibu wakuongeza uzalishaji...nikubana tu, nikubana tu....nikubana tu

Kodi
Kodi
Kodi

Unakusanya wapi wakati kila kitu kinashida!!!!
 
naona anarusharusha mkia wake kwa fujo, ngoja aje MAMI aukate.
-------
baada ya kuitizama video nikiri kuwa Serukamba ameongea mambo muhimu na ukweli mchungu kwa serikali, ni kama JPM hana washauri kwenye maswala ya uchumi na ndio maana tunashuhudia sera za ajabuajabu za kijima.
 
naona anarusharusha mkia wake kwa fujo, ngoja aje MAMI aukate.

Ngosha akiona nakuisikiliza hii lazima amtafute mwenae Dalisalama kutafuta mbinu mbadala

Maana wazalendo wakweli wanaongezeka
Nape, Bashe....huyu naye kajiongeza
 
Back
Top Bottom